Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sky is limit

Makonda haijalishi kafikaje hapo alipo Ila ni MTU wa bahati Sana .

Kuna kitu anacho special ambacho sio rahisi watu wengine kuwa nacho anastahili kuwa hapo alipo.

Kama sio kumiliki siri nyingi za watu fulani basi yupo katika mtandao fulani.
 
Siku unakuja Bashungwa atakuwa Rais na aibu itakupata
 
Huko kubadilishwa wizara mara kwa mara ni kuepuka asije jaza watu wa kabila lake kwenye sekta na idara muhimu zilizopo kwenye wizara husika endapo atakaa muda mrefu kwenye wizara hiyo.
 
Tupe notable achievement moja aliyofanya kwenye wizara alizopita.
 
Huko kubadilishwa wizara mara kwa mara ni kuepuka asije jaza watu wa kabila lake kwenye sekta na idara muhimu zilizopo kwenye wizara husika endapo atakaa muda mrefu kwenye wizara hiyo.
Acha ukabila mkuu
Huyu jamaa ni muadilifu
Hatujawahi kusikia kashfa yoyote alipopita
Kuwa tu mkweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…