Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Ili ufanikiwe kwa sehemu, lazima uwe na siri sana kwenye mahusiano yako mzee.. sio macho yote mazuri..

Nimeisha kaza wakali kuliko joan. Ila sera yangu ni siri ikitokwewa kaliwa inabaki siri pia maana hakuna mtu anae jua.. kuna watu humu nchini hutokaa uwaone wake zao au wapenzi wao na ndio wana survive hao 😅😅
 
Unayosema ni kweli 100%. Kumweka mke hadharani ni hatari sana. Nimeona kuna watu maarufu sana ila wake zao hawajulikani. Siku moja nilishangaa kujua Fally Ipupa ana mke na watoto kadhaa. Na yuko poa na familia yake ingawa kumuona mkewe kwenye media ni ngumu.
 
Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
 
Na ndio inatakiwa kuishi na hao watu hivyo, bila hivyo kubali lolote litalo tokea
 
Samson wa Pili
 
Hii nchi bwanaa dah, nnahisi kwenye ile idadi yetu ya 61M basi 60M ni wachawi

Jamaa anaishi maisha yake tu anafurahia, lakini Kuna mijitu kumbe ilikuwa inaumia kweli

Manara, konde boy, jj mwaka, Nikki wakati wanapost wapo na wapenzi wao mlikuwa mnaumia sana kumbe

Ishi maisha yako, hakuna haja ya kujibana bana, kuchapiwa ye ndo wa kwanza?
 
Sijajua kabila lake. Kwa lile hips na shundu huenda akawa msukuma.
Ah ok
Hawa wanawake ndiyo wanafanya tuwe tunakua wagumu kuoa bali kuchakata tu mbususu. Linaweza limwanamke linakuektia wema ngoja ulioe bwana utaona rangi zote za upinde..

Kuna mmoja nilikua namgharamia kupita maelezo bado mchezo akawa anataka kunipa kwa ratiba. Na bado vivu kitandani.

Nikaona isiwe kesi nikapiga chini. Mpaka kesho anasumbua, ila mhuni nishamfuta mpaka kwenye recycle bin ya kichwa
 
Kwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
 
Kuna uzi ulishaletwa hapa kitambo kido... Ulisema " jamaa siku akimegewa atajiua"alikuwa akimpostpost sana
 
Mhhh!!! Dem mwenyewe ana Tako la kuvunja Chaga, wahuni wanaliachaje Kwa mfano?

Nikki wa pili (Countrywide) ungechukua wife material, sio wale wa starehe za wahuni. Wife material ni mwanamke normal wa kawaida, chakula ya wahuni ni wanawake wenye misambwanda kama huyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…