Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Hata Nikki mwenyewe alikuwa haamini kama yeye ndo mmiliki wa ile kitu.. yale maruweruwe yakamfanya awe anapost ku-prove yeye ndo mmiliki. Hata wewe ndugu imagine toto kama Joan limekubali ulivue nguo zote ikiwemo chupi kisha uanze kuchakata mbususu na kikubwa zaidi ruksa kumwagia ndani..😋 lazima udate.

Cha muhimu Nikki aelewe kuwa Joan ni ndoto ya marijali wengi kummiliki.
Ili ufanikiwe kwa sehemu, lazima uwe na siri sana kwenye mahusiano yako mzee.. sio macho yote mazuri..

Nimeisha kaza wakali kuliko joan. Ila sera yangu ni siri ikitokwewa kaliwa inabaki siri pia maana hakuna mtu anae jua.. kuna watu humu nchini hutokaa uwaone wake zao au wapenzi wao na ndio wana survive hao 😅😅
 
Ili ufanikiwe kwa sehemu, lazima uwe na siri sana kwenye mahusiano yako mzee.. sio macho yote mazuri.. Nimeisha kaza wakali kuliko joan. Ila sera yangu ni siri ikitokwewa kaliwa inabaki siri pia maana hakuna mtu anae jua.. kuna watu humu nchini hutokaa uwaone wake zao au wapenzi wao na ndio wana survive hao 😅😅
Unayosema ni kweli 100%. Kumweka mke hadharani ni hatari sana. Nimeona kuna watu maarufu sana ila wake zao hawajulikani. Siku moja nilishangaa kujua Fally Ipupa ana mke na watoto kadhaa. Na yuko poa na familia yake ingawa kumuona mkewe kwenye media ni ngumu.
 
Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
 
Na ndio inatakiwa kuishi na hao watu hivyo, bila hivyo kubali lolote litalo tokea
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Samson wa Pili
 
Hii nchi bwanaa dah, nnahisi kwenye ile idadi yetu ya 61M basi 60M ni wachawi

Jamaa anaishi maisha yake tu anafurahia, lakini Kuna mijitu kumbe ilikuwa inaumia kweli

Manara, konde boy, jj mwaka, Nikki wakati wanapost wapo na wapenzi wao mlikuwa mnaumia sana kumbe

Ishi maisha yako, hakuna haja ya kujibana bana, kuchapiwa ye ndo wa kwanza?
 
Picha plz ya huyo mdada
46761107_362649527844039_1172305349143691264_n.jpg
 
Sijajua kabila lake. Kwa lile hips na shundu huenda akawa msukuma.
Ah ok
Hawa wanawake ndiyo wanafanya tuwe tunakua wagumu kuoa bali kuchakata tu mbususu. Linaweza limwanamke linakuektia wema ngoja ulioe bwana utaona rangi zote za upinde..

Kuna mmoja nilikua namgharamia kupita maelezo bado mchezo akawa anataka kunipa kwa ratiba. Na bado vivu kitandani.

Nikaona isiwe kesi nikapiga chini. Mpaka kesho anasumbua, ila mhuni nishamfuta mpaka kwenye recycle bin ya kichwa
 
Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Kwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
 
Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia😅 na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.

Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.

Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
Kuna uzi ulishaletwa hapa kitambo kido... Ulisema " jamaa siku akimegewa atajiua"alikuwa akimpostpost sana
 
Mhhh!!! Dem mwenyewe ana Tako la kuvunja Chaga, wahuni wanaliachaje Kwa mfano?

Nikki wa pili (Countrywide) ungechukua wife material, sio wale wa starehe za wahuni. Wife material ni mwanamke normal wa kawaida, chakula ya wahuni ni wanawake wenye misambwanda kama huyo wako.
 
Back
Top Bottom