Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Huyu ni Nani?
 
Hivi watu wanaamini vipimo vya kibongo hadi kuachana na wake zao, hizi hospitali ukienda hii unaambiwa una maralia, nyingine utaambiwa typhoid, nyingine utaambiwa syphilis, siku hio hio moja!! Hio DNA alipima kwenye hospitali ngapi?
 
hivi watu wanaamini vipimo vya kibongo hadi kuachana na wake zao, hizi hospitali ukienda hii unaambiwa una malalia, nyingine utaambiwa typhoid, nyingine utaambiwa syphilis, siku hio hio moja !! Hio DNA alipima kwenye hospitali ngapi?
Hii taarifa siiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…