Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Looh! Inatisha
 
Picha tuone
 

Changamoto ni kwambaaa, huwa tunawaambia WASIOE ila huwa hawaelewi

#YNWA
 
Niki wa pili huyu
 
Nikki alimuanika sana ndio shida
Hata Nikki mwenyewe alikuwa haamini kama yeye ndo mmiliki wa ile kitu.. yale maruweruwe yakamfanya awe anapost ku-prove yeye ndo mmiliki.

Hata wewe ndugu imagine toto kama Joan limekubali ulivue nguo zote ikiwemo chupi kisha uanze kuchakata mbususu na kikubwa zaidi ruksa kumwagia ndani..😋 lazima udate

Cha muhimu Nikki aelewe kuwa Joan ni ndoto ya marijali wengi kummiliki.
 
Haya mambo haya basi tu yasikie kwa mwenzio

Hivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!

Wanaume hawapendani.

Tusipende kufurahia matatizo ya watu, tunajilaani wenyewe.

Hakuna anayependa yawakute.
Ila tatizo tushapiga sanaa kelele ila HAWAELEWI.

Acha yawakute.

Tushawaambia msioe, mwanamke sio nduguyo.
Tumewaeleza, hii Dunia Sasa ni capitalist rule, everyone needs everything, then TAKE CARE.

Fight your battle ila mwanaume mwenzangu unakwenda kuchukua mwanamke na kumuoa.

Nini unataka zaidi ya kifo na ndio hicho sasa.

Tukiwaambia WAACHANE na NDOA wawe waelewa.

#YNWA
 
Kama sio rijali ndo unaweza kumuona Joan wa kawaida.
 
Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.
Ila haya mapenzi ni bora upige kimya kuliko kujishaua kwenye mitandao. Unaweza pigwa tukio ukaishia kujinyonga bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…