Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Wengi tunapenda kuona familia zikiishi kwa migogoro isiyoisha. Kukiwa na amani watu hawafurahii kabisa. Hii maana yake ni kwamba familia nyingi zinaishi ili mradi tu, hivyo kutamani sote tufanane.
 
Wanawake pasua kichwa... Unato mbewa hujui mpaka wakuonyeshe video ya mkeo akiwa anapigwa miti ndio unashtuka Ila wanaume wengi wanapigiwa wake zao sio Nikki tu hio ni sample specimen
Hayo mambo Mungu katufumba hata marafiki zetu wa karibu wanatusema vibaya kwa wtu ila ni vile hatujui..Mkoe unachapiwa n vile hujui ila siku ukijua inauma sana.
 
Noma
Screenshot_20230219-114021.jpg

Screenshot_20230219-113959.jpg

Screenshot_20230219-114055.jpg

Niki aamue mwenyewe
 
Hayo mambo Mungu katufumba hata marafiki zetu wa karibu wanatusema vibaya kwa wtu ila ni vile hatujui..Mkoe unachapiwa n vile hujui ila siku ukijua inauma sana.
Unasomesha Malaya CPA unategemea nini km sio kugongewa ulisikia wapi Malaya anasomeshwa?

Wanawake wengi walioolewa wanapigwa sana miti nje ya ndoa yaan saaana bila wanaume zao kujua na sio kwamba wanapigwa kawaida namaanisha wanapigwa miti sana

Maana nje anaenda kupoza ukame na jamaa anaekutana nae anataka kuchukua point 3 kwa hio hua hachezi fyongo anapiga dudu haswa, fukua vilivyo sasa mwanaume uonyeshwe yaliyokua yanafanyika mbele ya camera unachoka ulikua hujui Ila hajaanza Jana juzi katoka kugongwa kwenye gari uliyomnunulia

KATAA NDOA
 
Itabidi tuunde jeshi maalum la kupambana na nyinyi. Hakuna familia hakuna taifa
 
Unasomesha Malaya CPA unategemea nini km sio kugongewa ulisikia wapi Malaya anasomeshwa?

Wanawake wengi walioolewa wanapigwa sana miti nje ya ndoa yaan saaana bila wanaume zao kujua na sio kwamba wanapigwa kawaida namaanisha wanapigwa miti sana

Maana nje anaenda kupoza ukame na jamaa anaekutana nae anataka kuchukua point 3 kwa hio hua hachezi fyongo anapiga dudu haswa, fukua vilivyo sasa mwanaume uonyeshwe yaliyokua yanafanyika mbele ya camera unachoka ulikua hujui Ila hajaanza Jana juzi katoka kugongwa kwenye gari uliyomnunulia

KATAA NDOA
Ndoa muhimu utaishije. Ndoa Mambo ya ushoga kuanza
 
Hapana mkuu. Ni jambo lililokuwa wazi sema ndo tulikuwa hatujui siku wala saa atakapokuja yule mgongaji wa ile Tandam... Joan ni kitu kikali mno. Ana weupe wa asili sio mkorogo... demu kama yule huwa wanapenda watu wahuni wahuni tofauti na Nikki ambaye ana asili ya upole na utulivu.
Halafu huyo kidampa mbona mnamkuza sana?

Eti "Joan ni kitu kikali mno"

Nikiona mwanaume anapapalika hivi na mwanamke, moja kwa moja najua hana uwezo wa kufika maeneo mbalimbali ya maana au anachokifanya hakimpi nafasi hiyo. Tembeeni muone, huyo joan mbona mwanamke wa kawaida sana.

Mwisho wa siku tabia ina matter kuliko huo uzuri, ukitembea utaona wazuri wengi sana ila mwisho wa siku kama unatafuta mama bora kwaajili ya watoto wako, basi hauwezi kuweka mbele zaidi muonekano wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasomesha Malaya CPA unategemea nini km sio kugongewa ulisikia wapi Malaya anasomeshwa?

Wanawake wengi walioolewa wanapigwa sana miti nje ya ndoa yaan saaana bila wanaume zao kujua na sio kwamba wanapigwa kawaida namaanisha wanapigwa miti sana

Maana nje anaenda kupoza ukame na jamaa anaekutana nae anataka kuchukua point 3 kwa hio hua hachezi fyongo anapiga dudu haswa, fukua vilivyo sasa mwanaume uonyeshwe yaliyokua yanafanyika mbele ya camera unachoka ulikua hujui Ila hajaanza Jana juzi katoka kugongwa kwenye gari uliyomnunulia

KATAA NDOA
Huyo ni ndugu yake Stress Challenger huko migombani
 
Back
Top Bottom