Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Hakuna anayependa yawakute.
Ila tatizo tushapiga sanaa kelele ila HAWAELEWI.

Acha yawakute.

Tushawaambia msioe, mwanamke sio nduguyo.
Tumewaeleza, hii Dunia Sasa ni capitalist rule, everyone needs everything, then TAKE CARE.

Fight your battle ila mwanaume mwenzangu unakwenda kuchukua mwanamke na kumuoa.
Kwahiyo wanaume wenzio wachukue wanaume na kuoa eeeeh?
 
Ah ok
Hawa wanawake ndiyo wanafanya tuwe tunakua wagumu kuoa bali kuchakata tu mbususu. Linaweza limwanamke linakuektia wema ngoja ulioe bwana utaona rangi zote za upinde..

Kuna mmoja nilikua namgharamia kupita maelezo bado mchezo akawa anataka kunipa kwa ratiba. Na bado vivu kitandani.

Nikaona isiwe kesi nikapiga chini. Mpaka kesho anasumbua, ila mhuni nishamfuta mpaka kwenye recycle bin ya kichwa
Unajua kwanini anakupangia ratiba? Cz kuna mbaba mwingine yupo kwenye ratiba yenu.
 
Nasemaaa hakuna Mwanamke yeyote asielika ni juhudi tu za mlaji tu na PESA so jifunze kubalance shoboo kwa mkeooo usimuoneshe kuwa bila yeye Hutambaii yani yeye ndo dunia yako aisee utakufaa mapema...!! Mjali mwanamke ila Usimpendee kupitiliza. Niki kwa mshahara wa Mkuu wa wilaya bila madili hatoboi kwa ile pisiii.. Pisi yenyewe imemaliza CPA with top GPA kama halipwi kwa dollar nimekaaa paleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nick atamwambia nini manzi wakati pesa ashazidiwaaa...???
 
Mh DC wa pili atakua kajifunza sasa

Hata AY alisha achana na remi yule mke wake ...sahv anatoka na li black America

Mc pilipili akae mkao wa kula asipobadilika itakula kwake
AY ajaachana kaachwa. Siku hizi jamaa hata sura yake haina furaha huzuni. Mcheki.
FB_IMG_1674106135965.jpg
 
Nasemaaa hakuna Mwanamke yeyote asielika ni juhudi tu za mlaji tu na PESA so jifunze kubalance shoboo kwa mkeooo usimuoneshe kuwa bila yeye Hutambaii yani yeye ndo dunia yako aisee utakufaa mapema...!! Mjali mwanamke ila Usimpendee kupitiliza. Niki kwa mshahara wa Mkuu wa wilaya bila madili hatoboi kwa ile pisiii.. Pisi yenyewe imemaliza CPA with top GPA kama halipwi kwa dollar nimekaaa paleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nick atamwambia nini manzi wakati pesa ashazidiwaaa...???
Nina uhakika kabisa hata Niki mwenyewe anafahamu hiyo pisin alikuwa hawezani nayo. Cute with it ntelligent brain.
 
Kwakusoma comments zote mpaka hapa, itoshe kusema binadamu hatupendani. Sitawashangaa tena wanaopinga ndoa, sitawashangaa tena wanaosema msihurumie mwanamke. Wanaume tunaosema tunapendana, wanamcheka mwamba[emoji23][emoji23] na kufurahia yamemtokea, dah! Wanawake wanaosimama kila siku wakitetea ndoa humu na kusema usipooa utaolewa wanamsimanga na kufurahia anguko la jamaa ambayo ni ndoa iliyokuwa inakuja kujengeka. Kisa tu jamaa alimwonyesha mchumba wake nakuonyesha kuwa anamthamini, Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]! Kumbe. Kampeni za kukataa ndoa zinapigwa vita humu kichizi, kumbe watu wenyewe ndio hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yatosha kusema wema huponza na wanawake hawaaminiki kamwe, sikutegemea uzi uende kwa comments za kumsimanga jamaa hivi, duh! Basi aisee, jamaa pigeni kampeni tu! Yaani hadi wanawake wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23], na mwanaume anayejua huo uchungu[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hapa ndio ujinga wa wanaume ulipo yaan mtu anafikiri kila mwanamke anataka pesa na hiki ndicho kinachowaharibia na mwisho mnaishia kuchapiwa mnahisi ukiwa na pesa ukampa mwanamke basi utakua umemaliza kila kitu, yes of course experience makes a person better or bitter,

Ukiona mwanamke anaanza kukukwangua pesa jua hakupendi fanya km unavuka mto usio na daraja alafu ndani ya mto kuna mamba, nyoka na viboko na unatakiwa uvuke kwa lazima, sasa jiulize utatumia mbinu gani kuuvuka huo mto? ndio jinsi ya kutemana na mwanamke anaekukwangua pesa za kila namna Ila all in all mwanamke anapenda kupigwa miti na kuzalishwa

Tuendelee kuwapiga miti tuendelee kuwatosheleza kitandani tuendelee kuwazalisha Ila ndoa hakuna kuwapa

KATAA NDOA
 
Back
Top Bottom