Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swalamaaa🤣🤣🤣🤣😅😅😅 mu Israel salamaaaa
Kwahiyo wanaume wenzio wachukue wanaume na kuoa eeeeh?Hakuna anayependa yawakute.
Ila tatizo tushapiga sanaa kelele ila HAWAELEWI.
Acha yawakute.
Tushawaambia msioe, mwanamke sio nduguyo.
Tumewaeleza, hii Dunia Sasa ni capitalist rule, everyone needs everything, then TAKE CARE.
Fight your battle ila mwanaume mwenzangu unakwenda kuchukua mwanamke na kumuoa.
Unajua kwanini anakupangia ratiba? Cz kuna mbaba mwingine yupo kwenye ratiba yenu.Ah ok
Hawa wanawake ndiyo wanafanya tuwe tunakua wagumu kuoa bali kuchakata tu mbususu. Linaweza limwanamke linakuektia wema ngoja ulioe bwana utaona rangi zote za upinde..
Kuna mmoja nilikua namgharamia kupita maelezo bado mchezo akawa anataka kunipa kwa ratiba. Na bado vivu kitandani.
Nikaona isiwe kesi nikapiga chini. Mpaka kesho anasumbua, ila mhuni nishamfuta mpaka kwenye recycle bin ya kichwa
Mnaupiga mwingi🤣🤣🤣Nkoyi [emoji91][emoji91][emoji91]
Tukitoka kwenye kuchekwa ushamba tunarudi kwenye kuchapiwa yaani dah basi tu!
Ni zao, hazinihusu.Wewe una nzurinzuri ila huleti.. letee..
You live a life, you learn to be humble no one knows his/her own cup of tea they can happen any day. Life is a cycle!Si aliamua kuyaweka hadharani,sisi tunayasitirije?
AY ajaachana kaachwa. Siku hizi jamaa hata sura yake haina furaha huzuni. Mcheki.Mh DC wa pili atakua kajifunza sasa
Hata AY alisha achana na remi yule mke wake ...sahv anatoka na li black America
Mc pilipili akae mkao wa kula asipobadilika itakula kwake
Nina uhakika kabisa hata Niki mwenyewe anafahamu hiyo pisin alikuwa hawezani nayo. Cute with it ntelligent brain.Nasemaaa hakuna Mwanamke yeyote asielika ni juhudi tu za mlaji tu na PESA so jifunze kubalance shoboo kwa mkeooo usimuoneshe kuwa bila yeye Hutambaii yani yeye ndo dunia yako aisee utakufaa mapema...!! Mjali mwanamke ila Usimpendee kupitiliza. Niki kwa mshahara wa Mkuu wa wilaya bila madili hatoboi kwa ile pisiii.. Pisi yenyewe imemaliza CPA with top GPA kama halipwi kwa dollar nimekaaa paleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nick atamwambia nini manzi wakati pesa ashazidiwaaa...???
Coming soon...
Kuna wapi uliona kuna Malaya asie na akili?Nina uhakika kabisa hata Niki mwenyewe anafahamu hiyo pisin alikuwa hawezani nayo. Cute with it ntelligent brain.
Wanawake pasua kichwa... Ndio wanachotaka kupasua kichwa cha u booLooh!
Wanawake wanataka nn?? Nikki ana hela, na Nikki anafanya mazoezi hivyo kwa vyovyote ana nguvu za kiume.
Hapa ndio ujinga wa wanaume ulipo yaan mtu anafikiri kila mwanamke anataka pesa na hiki ndicho kinachowaharibia na mwisho mnaishia kuchapiwa mnahisi ukiwa na pesa ukampa mwanamke basi utakua umemaliza kila kitu, yes of course experience makes a person better or bitter,na PESA
Kama sio yeye chawa wake mana anamsifiaga kila siku humu na kumpigia mapambio. Anajua Habari zake nyeti huy jamaa. Lazima wamtag kama sio yeye atamwambia tuNa mm natamani kujua hilo