Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Shame on you ungekuwa umeona yule raia wa kawaida kamuuliza swali dogo tuu huyo Gwajima na hakuweza kulijibu zaid ya jasho kumtiririka kama amekamatwa ugoni.

Hana alijualo zaidi ya kuibia waumini sadaka basi
 
Ohooo.., hii mada tayari iko nje ya uwezo wako.Mada Ni kuhusu Halima mdee na Jimbo lake ka kawe, kwakua mnamnasibu hapa kuwa ni mchapakazi.
Hilo swala la majimbo mengine kuwa na wabunge wa CCM, na kwamba hayana maendeleo, tutajadiri vizuri ukianzisha thread.
 
Shame on you ungekuwa umeona yule raia wa kawaida kamuuliza swali dogo tuu huyo Gwajima na hakuweza kulijibu zaid ya jasho kumtiririka kama amekamatwa ugoni.

Hana alijualo zaidi ya kuibia waumini sadaka basi
Na wewe unashabikia tasa lisilo zaa matunda ya maendeleo?
Jiulize shame iwe wapi?
 
Kama CCM ingelitaka jimbo la Kawe wangejenga hizo barabara ili waonyeshe kuwa maendelelo hayana chama. Na hapo wananchi wangesema hebu tuichaugue CCM sasa ili izidi kutuletea maendeleo. Mbaya zaidi wameteua mgombea ambaye sifa zake haziendani kabisa na siasa za nch hii. Huwezi kuchanganya siasa na dini ukaeleweka, vitu anavyovifanya vya kufufua watu feki na kukandia wenzake wa dini/madhehebu nyingine vinamtoa kabisa katika sifa za kuwa mbunge!! Hana "Karisma ya uongozi"
 
Rudisha tu hela ya bundle kwa polepole. Kama anakutegemea wewe mwambie ameleta kilaza kuja kufunika hoja humu
 
Miaka

Kwani miaka 10 Chadema ndiyo walikuwa wanaamua mgawanyo wa fedha kwenye bajeti ya Miundombinu?

Barabara za Kawe na maeneo mengine CCM waliposhindwa aulizwe Jiwe na mpwa wake Ditto wa Hazina. Wanatumia pesa za nchi kama pesa ya ukoo wao, na Mafisiem mnaangalia tu.

Halafu mnakuja kuuliza swali la kipuuzi utadhani Chadema ndiyo wanakusanya kodi za nchi.

Upuuzi mpaka mnakera.
 
Mkuu unaota nini?
Ni dhahiri mizania ya kufikiri ina matatizo.
Uwanja wa Chato unauhusiano upi na nia yetu ya barabara Kawe.
Uhusiano upo kwani kuchukua pesa za walipa kodi bila idhini ya bunge kwenda kujenga chato Airport ni matumizi mabaya ya madaraka
 
Rudisha tu hela ya bundle kwa polepole. Kama anakutegemea wewe mwambie ameleta kilaza kuja kufunika hoja humu
Laiti ungejua, ungeniomba hata ajira, au hata hela ya chai Kama huna.Mimi sio nyumbu Kama wewe
 
Halima hajaiambia serikali ijenge barabara jimboni kwake???? Kweli wewe kilaza wa Lumumba
Halina mdee ni mtetezi mzuri Bungeni hufikisha kilio chote vizuri pasipo kuchuja, Tatizo lipo kwa mkurugenziccm kutekeleza mapendekezo yake
 
Ni bora kuliko kumtegemea kilaza wa namna yako
🤣🤣🤣🤣 Elimu yako ni ya makaratasi, haijakusaidia, ndio maana bado unailaumu serikali, ukidhani Kuna mtu atakuletea hela mfukoni, pambana kutafuta hela.
 
Nikiwaweka kwenye mizani ya ushawishi Gwajima anaweza kushawishi serikali na wadau wengine kutatua changamoto za Kawe.
Sidhani Kama Mdee anaushawishi, zaidi anakera anaopaswa kiwashawishi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Kushawishi nini? Maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo ni lazima kwa walipa kodi siyo Ombi na tayari Halina mdee keshasema kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM ikaminya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa wapinzani waonekane hawaleti maendeleo, CCM acheni kuwakomoa wapinzani kwa makusudi kisha mnakuja na maneno eti Gwajima ataishawishi Serikali kuleta maendeleo? Maendeleo ni lazima kwani ni pesa za walipa kodi na tayari Halima mdee keshayasema mapungufu mengi ya jimbo la kawe huko Bungeni,
 
🤣🤣🤣🤣 Elimu yako ni ya makaratasi, haijakusaidia, ndio maana bado unailaumu serikali, ukidhani Kuna mtu atakuletea hela mfukoni, pambana kutafuta hela.
Nitapataje hela wakati sera ya serikali yako imeharibu uchumi. Kulikuwa na kampuni ya Kenya ilikuwa inakuja kununua mazao huku nilipo, Magufuli wenu kaharibu mahusiano na Kenya ile kampuni hawaji tena. Huku nilipo wote tumefirisika na bank wamechukua Mali zetu! Sasa Tatizo ni nyie CCM na mtu wenu au sisi???
 
Heri hata Gwajima.
Halima Mdee kasugua kiti cha ubunge Kawe kwa miaka 10, hebu tupe hata kitu kimoja cha kijamii alichokifanikisha!
Halima mdee kawasilisha kero zote Bungeni lakini mtekelezaji wa miradi ni mkurugenziccm wa CCM ambaye huwakomoa wapinzani kuminya maendeleo kwa makusudi ili mdee aonekane haleti maendeleo
 
Sio nyie mliokuwa mnashinikiza serikali ifunge mipaka yake wakati wa CORONA🤔?
 
Halima Mdee kashindwa!
Halima mdee kasemea kero zote Bungeni lakini Serikali ya CCM imemhujumu kwa kuzuia kupeleka pesa za maendeleo kwa makusudi ili aonekana hafanyi kazi, lakini Bungeni Halima mdee siyo mbunge lala lala sinzia gonga meza za ndiyo ndiyo kama wabunge wa CCM, ni mbunge msema kweli ingawa CCM inamhujumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…