Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Kuna kitu kimoja tunakipuuza but ndo mhimili mzima wa kinachoendelea duniani sasa.

vijana wa kiume Africa bado wanaamini concept ya kuwa na mwanamke ambaye atakuwa wake tu, kazi ambayo ni ngumu sababu hawafuatilii sababu halisi ni kwanini mwanamke tangu zamani yeye ndo anakuwa na mwanaume mmoja.

Nature haimlazimishi mwanamke kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja. Mifumo ndiyo ilitaka mwanamke awe na mwanaume mmoja atakayetunzwa na mwanaume. "FAMILY"

Hii mifumo ina chanzo, zamani mahusiano yalikuwa ni identity kama NIDA sasa hivi. Ilibidi iwe hivyo kwa ajili ya ACCESS na ili binadamu atawalike, huwezi mtawala mtu ambaye hana identity so mifumo ya kiutawala ikaja na mahusiano ya mwanamke kuwa na mwanaume mmoja na ikiwezekana abebe jina lake. "FAMILY"

Ukimtafuta Mr, X unamtambua kama mume wa fulani na fulani, mwenye watoto fulani na fulani, au mke wa fulani, mama wa fulani na fulani. Then, unapata access yake. Ilikuwa ni lazima huu mfumo ukubalike kijamii, kimaadili na kiserikali ili access iwepo na binadamu atawalike. So serikali, dini, na mifumo yote ya control ikabrand mahusiano katika picha hiyo na elimu ikatolewa vizazi na vizazi mpaka ikaingia kwenye damu.

Sasa hivi, Tech inakua kwa kasi, serikali zimekuwa kubwa, haziitaji sana familia ili kuwa na control ya watu wake, watu nao ni wengi, so serikali zimepuuza mfumo wa family zikawachia taasisi za dini na jamii kupitia wazazi, ndugu, majirani n.k.

Sasa taratibu women wanatoka kwenye shadow ya sex with one man anayeitwa mume na mifumo ya kiutawala haiwalazimishi sana kuwa huko japo kuna visheria uchwara but havizingatiwi, halafu taratibu ile control ya dini inapungua nguvu.

Then what do you excpect kwa binti anayezaliwa leo, au atakaye zaliwa kesho linapokuja suala la vipaumbele vyake vya kimahusiano? Atastick na old system inayopotea kama hakuna central contol?

Ukijumlisha nature calls, uchumi na matamanio ya mwanaume new normal ya mahusiano taratibu itapuuza previous body count kadri muda unavyokwenda and nothing can be done unless mifumo ije na udhibiti.
 
Hii sredi, mmeruhusu ego zichukuwe nafasi kubwa lakini nyingi kati ya hoja zenu zina mashiko, binafsi sio muandishi mzuri lakini niwakumbushe shusheni mori wazee kabla mambo hayajaharibika πŸ˜„
 
Mkuu, umegusa mhimili ambao vijana wengi wanaogopa kuujadili kwa sababu unapingana na social conditioning tuliyopewa tangu utotoni.

Tunachokiona sasa hivi ni transition period tu kipindi ambacho mifumo ya zamani dini/jamii imeshapoteza mamlaka yake ya kisheria, lakini bado haijafutika kwenye vichwa vya watu.

Ndio maana kuna migongano mingi ya kijamii, vijana wanataka uhuru wa kimahusiano wa karne ya 21, lakini bado wameshikilia expectations za karne ya 19.

Hakuna namna ya kurudisha mfumo wa zamani bila kuja na draconian control (udhibiti mkali) ambao dunia ya sasa ya teknolojia haiwezi kuukubali.

Tunakoelekea ni kwenye mahusiano ya hiari zaidi, yani yale yenye transactional elements zaidi, na body count itazidi kupoteza maana kama kigezo cha heshima, kwa sababu nature ya mwanadamu kuwa na matamanio imeshabeba maamuzi, na mifumo ya kuzuia imeshakufa.
 
Kwa maelezo yangu exception na red flag ni vitu tofauti. Nitakapoiona tu red flag naishia hapo hapo. Siende mbali kwa kuangalia exception.
Mfano standard yangu linapokuja suala la kuoa ni mwanamke kuwa bikira.
Hii ni exception umeitumia kuwa na mwanamke kwenye kundi la wanawake ambao wote unakubali wanaweza kukusaliti. Hiyo standard ya bikira ndo exception yenyewe umeitumia tayari.
Kwahiyo nitapoona tu sio bikira vetting inaishia hapo hapo siende kwenye exception ya kutaka kujua hana bikira kwa sababu ipi na hiyo sababu ina uzito wa mimi kulegeza msimamo wangu?
Sasa usigeuze, exception haiji mwishoni, ipo mwanzoni wakati wa vetting. Bikra si common kwa mwanamke wa umri wa kuolewa 20+ kama zamani, So wewe kusema unataka bikra it means unataka something unique out of something common.
Common thing ni usaliti ambao wanawake wote unasema wanao wakifatwa na mwenye pesa, Exception ya uwezekano wa kitosalitiwa ni bikira na ndo maana ukaacha room of disappoitment.

Mkuu, hili limeisha. Hapa unachofanya unageuza juu chini, chini juu but lipo wazi.
 
Mimi sioni shida kama ni vijana wa kiume. Niachoona tatizo lipo upande wa mwanamke. Linapikuja suala la mahusiano mwanaume hana shida na mfumo wowote utakaotumika.

Tukisema twende na patriarchy, feminism au hii relationship monetization inayotrend sasa kwa mwanaume ni sawa. Mkanganyiko upo upande wa mwanamke.

Unajua mfumo wowote una opportunity cost, yaani benefit ambazo ili ulizipate lazima ukubali kupoteza benefits za mfumo mwingine. Sasa hapo kwenye opportunity cost ndipo panafanya wanawake wawe njia panda. Wanataka benefits za kila mfumo.

Mfano tukiangalia suala la provision kwenye patriarchy, feminism na relationship monetization haliwezi kuwa sawa. Kwenye patriarchy ilo ni jukumu la mwanaume. Kwenye feminism huo ni wajibu wa wote na kwenye relationship monetization huo ni wajibu binafsi wa kila mtu. Sasa anachokitaka mwanamke hapo yeye apate privision bila kujali tupo kwenye patriarchy, feminism au relatiins monetization. Ndipo mkanganyiko unapoanzia.

Hatukatai mwanamke nae kuwa na sexually freedom. Hatukatai mwanamke kufanya monetization of relationship. Lakini kama tumeamua kuishi hivyo lazima mwanamke ajue atapoteza commitment na sacrifices za mwanaume. Hauwezi kuuza K halafu hapo hapo ukataka upendwe. Hauwezi kutombwa kiholela holela ukataka mwanaume awe na malengo nawe

Kwahiyo wanawake ni lazima wakubali kama tunaingia kwenye zama za relationship monetization basi hiyo ni biashara. Mwanamke akipata hela na mwanaume akipata huduma ya sex project inaishia hapo, na kama tunakubaliana sex ni expiration tu, basi kusiwe na lawama za "mwanaume kanichezea". Kama ni sex wote mmepata starehe kila mtu aendelee na maisha yake
 
Reactions: Tsh
Naunga mkono hoja.
 
Standard na exception ni vitu tofauti. Bikira sio exception kwa sababu kila mwanamke anazaliwa nayo. Akitokea mwanamke akazaliwa akiwa hana bikira hiyo ndio tungesema ni excption
 
Reactions: Tsh
Upo sahihi sana. Kuna dilema ya wanawake kutaka vyote. Wanajaribu kukwepa opportunity cost.

Kama alivyosema Marcostilone, nadhani ni dilema inayowatesa zaidi walio kwenye transision na ni wote, hata vijana wa kiume wapo wanaolazimisha. Mfano, unajua kabisa huyu mwanamke anataka pesa ila una wivu nae unataka real love.

Nadhani hii dilema inahusu watu wa 1980's, wanapata tabu sababu mifumo ya nyuma ipo akilini na mifumo ya kisasa imeingia.

Vitoto vya 2000 ni tofauti, hawa ukianza kujitongozesha usishangae wakakuangalia machoni wakakuambia twende zetu kwako, una laki hapo niwaachie nyumbani? Straight.

NB: SIO WOTE, EXCEPTION ZINAAPPLY JAPO Natafuta Ajira hataki.
 
Mhadhiri mwenye mindset kama hii kwamba wanaowake wote ni malaya

Mhadhiri ambaye huwezi hata kusoma nilichoandika na ukaelewa πŸ˜…

Unakurupuka kujibu kama unakimbizwa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Sio wote ni malaya, ila most of you women hasa vyuoni ni changamoto sana

Lazima utetee jinsia yako as long as you are a woman

Ndo maana HATA MALAYA UKIMWITA MALAYA ANACHUKIA ILA KAZI YAKE NI HIYO

SO SIO MBAYA BWANA, USITETEE UJINGA SIKU NYINGINE
 
Standard na exception ni vitu tofauti. Bikira sio exception kwa sababu kila mwanamke anazaliwa nayo. Akitokea mwanamke akazaliwa akiwa hana bikira hiyo ndio tungesema ni excption
Sasa kwani unaoa vichanga? Kipimo ni wakati wa vetting yako sio alivyokuwa kabla ya vetting yako. Bikira sio common kwa wanawake wenye 20+, sababu za kutokuwa nayo ni suala jingine ila hazipo nyingi. Huwezi sema bikira ni common wakati wa kutafuta mke, that's a lie.

Acha kuzunguka bana kuhusu hili suala la standard, exception. Lipo wazi.
 
Hiki unachofanya wewe ni kuitafsiri vibaya fallacy ya appeal to involvement
 
Mmmh huwa nashangaa mwanaume anapotetea mwanamke kihivo na wakati ukweli uko pale pale

WANAWAKE WENGI JAPO SIO WOTE WANAUZA NA TUNAONA HATA MIDA HII HAPO NJE TU KUNA HAO MABINTI WANAUZA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabadiliko yapo kila mmoja anayajua. Ambacho nyie advacates wa modern women hamtaki kikielewa ni kwamba hayo mabadiliko pia yatagusa zile traditional roles za kila jinsia.

Mfano tukisema jamii ya zamani original deal ya ndoa ilikua ni a loyal and virgin woman in exchange of lifetime provision and protection from a man. Tukienda kwenye usasa na kukubaliana loyalty na virginity sio tena vigezo vya kuzingatiwa upande wa mwanaume basi lazima pia tuondoe na vile vigezo vya provision and protection akivyokua anabebeshwa mwanaume.

In relationship each side has terms. Kwahiyo tukitaka kuondoa terms za upande mmoja lazima tuziondoe na za uoande wa pili pia. Hstuwezi kumtaka mwanaume andelee kutoa traditional sacrifice halafu tumuondolee traditional benefits zote zinazotakiwa kuja na hizo sacrifices.

Kama tunakubaliana tunaingia kwenye zama ambazo sex ni exporation basi kusiwe na lawama kwa upande wowote wakati consequences za asexual freedom zitakapojitokeza. Wanawake waelewe matokeo ya promiscuous ni mimba isiyotarajiwa kwahiyo watakapojikuta single mother wasirushe lawama maana hayo matokeo ya wao wenyewe kuutumia uhuru wao wa ngono
 
Madogo wenyewe mnaowatetea ndio hawa hawa mtoto wa kiume anapakwa poda?
Haya ngoja tuone
 
Vijana wanatakiwa wajue soko limeshakuwa transactional, wanaume wengi wanaumia kwa sababu wanajaribu kutafuta real love iliyojengwa kwenye mifumo ya zamani ya kijamii ndani ya soko ambalo limebadilika kuwa la kibiashara (transactional marketplace).

Huwezi kuingia kwenye duka la kisasa la bidhaa ambapo kila kitu kina price tag halafu utegemee kupata bidhaa ya bure kwa sababu tu wewe ni mwanaume mwema, kizazi kipya hili wamelielewa vizuri sana ndio maana wako straight.

Unakuta kijana anataka mwanamke wa traditional values lakini anamtafuta kwenye modern marketplace ambapo wanawake wamejifunza kujitegemea na kutazama value kwanza, hii ni paradox isiyowezekana.

Kutaka mapenzi ya kizamani kwa wanawake walio market oriented hii ndiyo inayozalisha wivu, uchungu, na malalamiko kila siku kuhusu wanawake.
 
Good point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…