Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Mkuu mbona unaanza kutoa ntazamo wako kabla ya utafiti. Haoni unafanya kitu kile kile cha kuja na assumptions ambacho unanishutumu mimi nakifanya. Mimi nimekubali tusitumie assumptions, twende na tafiti. Tuanzie hapo kwanza kwenye kupinga hii relationship monetization tuone reactions za wanawake wenyewe
 
Reactions: Tsh
Ok, mkuu, samahani kwa hilo. Sasa ni vigezo gani tutatumia kuhitimisha kuwa wanawake wa JF wanarepresent wanawake dunia nzima ikiwa hata gender ya sample kuwa huyu kweli anamwakilisha mwanamke hatuwezi thibitisha?
 
Si unafahamu kabisa Jf haiaminiki kwa sababu watu wanatumia fake IDs , kwanini tuitumie kama benchmarking ya wanawake wote?
 
😂😀😀😀 Acheni blah blah zenu. Mnaogopa utafiti wa wazi kwa sababu mnajua hao hao wanawake mnaowatetea watawaprove wrong.

Wanawake hata ukikesha kuwatetea, ukigusa masilahi yao watakukukaanga na mafuta ya transfoma
 
Hahaha mkuu these people huwa wanajizima data sana utatumia nguvu bure kuwaaminisha kitu kilicho waziii... Deep down they know the truth
 
Ahhahaha they're treating women as a species with no choice when it comes to sex, alaf tena hapo hapo utawasikia wanasema wanawake nao hupenda na wana matamanio kama mwanaume...

So unabaki kucheka ukiangalia logic huioni.
 
Mkuu umeandika gazeti refu sana na hakuna point kabisa...

Umeongelea mfumo wa ku control which is so wrong... Dhana ya familia ipo mpaka kwa wanyama sema wanakuwa polygamist.. Yaani dume lenye guvu linatawala na kuwa na majike wengi... So family is an extension from nature. Ni binadamu alistaarabika akaona wawe wawili ili kusiwe na competition.

Pili tech na ujinga mpya ulio letwa na binadamu wanaojaribu kuenda against nature ndo msingi wa haya madhaifu yanayo jitokeza leo. Lazima uone tu mpasuko kama una akili sawa... Nyie ambao mko indoctrinated na ujinga wa psychology hamjitambui na kujua nini hasa macho kitetea... That's a dumb perspective kujua kabisa ya kuwa imagination only ends in the mind but nature and survival are real.

Sina mengi ya kukuambia ila kama mwanaume kamili you need to wake up. Achana na kujifurahisha these things are real na hatuongopei namwonaga Natafuta Ajira anajitoa sana kuwaamsha lakini sikio la kufa halisikii dawa
 
Sio wote ila kwa sasa hali ni mbaya sana kwa mabinti walio wengi. Juzi kanicheki binti mmoja wa chuo x, nilishawahi kutuma maombi ila haeleweki basi nami nikaamua kumpotezea ila hiyo juzi anaomba nimsaidie ada kama 600K na yupo tayari kufanya lolote lile. Sijataka kutumia shida yake kama fursa ila najua kuna watakaoitumia kwasababu najua kwenye hiyo list ya maombi sipo peke yangu.
 
😂😀😀😀 Acheni blah blah zenu. Mnaogopa utafiti wa wazi kwa sababu mnajua hao hao wanawake mnaowatetea watawaprove wrong.

Wanawake hata ukikesha kuwatetea, ukigusa masilahi yao watakukukaanga na mafuta ya transfoma
Unataka tufanye utafiti Jf ili upate matokeo yanayolingana na kile unachokiamini, kitu ambacho ni confirmation bias, hili haliwezekani.

Nina amini kwa asilimia kubwa methodology uliyo tumia wewe kufanya huo utafiti ilikuwa imejaa upendeleo ndiyo maana ukaja na majibu yako mfukoni.
 
😂😀😀😀 Acheni blah blah zenu. Mnaogopa utafiti wa wazi kwa sababu mnajua hao hao wanawake mnaowatetea watawaprove wrong.

Wanawake hata ukikesha kuwatetea, ukigusa masilahi yao watakukukaanga na mafuta ya transfoma
Hakuna standard ya utafiti hapo but anyway tuufanye halafu unachosema ni kwamba wanawake wote watakataa with no exception si ndio?
 
Unakurupuka sana.
 
Mkuu bado tu unabisha kitu kilicho wazi mpaka leo?
 
Mkuu soma kwa makini nilicho andika achana na blah blah za utandawzi na tech check for what's real
Nimesoma

1. Hoja zako zinamtoa binadamu kwenye wanyama kanakwamba binadamu si mnyama ndo maana nikakwambia unakurupuka. Unaasume binadamu sio polyigamist wakati wanaume tuna wanawake wengi tu na tupo proud kama wanyama.

2. utandawazi si bla bla ni uhalisia.
 
Nimeipenda hii​

Bado unaingia mle mle sikusema binadamu sip polygamist nilisema binadamu ni mnyama aliestaarrabika na family ina extend from nature.... Bado unabisha nini hapo Wacha kujizima data

Haya kama utandawazi sio blah blah kwa nini mna go against uhalisia ulio hapo juu?
 
Good.
 
Ok, kati ya mwanaume kutembea na wanawake wengi, na mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ipi ni nature ya mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…