Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Hauna hoja , pumzika sasa.
Wewe hujielewagi kuwa hujui kitu na kingine huwa mnakuja kutetea vitu vya kijinga sana humu in the cave of huo ujinga wa psychology.... Nimekwambia hata bubu na kiziwi anajua kutomba. Wewe bado huelewi sasa nikusaidie nini? Unafikiri kila mtu ata but kwa ujinga wenu huu?

You guys are so dumb huwa tunawaacha because tu naona ni ujinga kubishana na wapuuzi
 
Hapa sasa ndiyo umedhihirisha ni kwa namna gani umejaa ujinga kichwani.

Pole sana.
 
Shida, ugumu au changamoto katika maisha ya vijana wa siku hizi ni haramu wengi wamekanyaga akili zao na kuwasha Tamaa bila kuzingatia hatua za upatikanaji wa raha tokea kwenye nyakati ngumu.

Maisha hayana tofauti na mfua Chuma ukikwepa gharama utarudi kuzilipia.

Wengi nawaona wanataka kujiachia wakiwa hawajavuka ng'ambo ...unataka ckass na bado huna jukwaa la kusimama kiwa na standard ya kukulinda kuliko Option amabzo ukikaa unajutia tu.

Mask off.
 
Hapa sasa ndiyo umedhihirisha ni kwa namna gani umejaa ujinga kichwani.

Pole sana.
Sasa wewe nianze kukuelezea natural insticts? Nitakuwa sina akili sasa. Yaani nikuelezee kwanini mwanaume anapenda dominance na mwanamke anapenda dominant male?
 
Sasa hizo si ndio assumptions zenyewe ulipinga mimi kuzitumia. Lengo sio kutafuta mshindi, lengo ni kupata kwanza reactions za wanawake wenyewe. Halafu mjadala mpya uanzie hapo
 
Reactions: Tsh
Sasa wewe nianze kukuelezea natural insticts? Nitakuwa sina akili sasa. Yaani nikuelezee kwanini mwanaume anapenda dominance na mwanamke anapenda dominant male?
Kila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.
 
Kila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.
Basi subiri mwongozo kutoka mbinguni sawa. Akupe direction namna ya kudindisha maana unaonekana unapenda mwongozo kwenye kila kitu
 
Katika hiyo mifumo ya dini, kijamii na serikali ni hapo kwenye dini tu ndio kuna kipengere cha mume mmoja mke mmoja napo ni dini ya kikristo. Mifumo ya kiserikali, jamii, utamaduni na uislamu inatambua ndoa ya wake wengi
Kwanini zinatambua ndoa? Hapa ndo hoja ilipo, kwanini zisitambue wanawake tu weengi kadri mwanaume anavyotaka bila ndoa. Ndo control ninayosema sasa. Mifumo ya access na udhibiti ambayo inaendelea kutelekezwa taratibu. Sasa hivi watu wanazaa tu na yoyote sio lazima waishi chini ya mwavuli wa ndoa.
Tunaongelea familia nyingi au wake wengi? Unajua vizuri polygamy?
Umiliki wa wanawake wengi.
Sheria zipo ili kucontrol, binadamu atawalike. Ok, maybe neno Familia nimelitumia vibaya, tuseme umiliki wa wanawake, kufanya ngono na kuzaa na wanawake wengi.
 
Ni hilo tu umeona? Mbona yapo mengi: tamaa, kukosekana maadili, kutokujali, kukosa upeo wa kufikiri etc.
Hakuna ulazima wa hoja nzima kujitosheleza kwenye hoja yangu, ndiyo maana nikatumia neno "ninavyoona"

Hii hoja ungeandika wewe.
 
Sasa hizo si ndio assumptions zenyewe ulipinga mimi kuzitumia. Lengo sio kutafuta mshindi, lengo ni kupata kwanza reactions za wanawake wenyewe. Halafu mjadala mpya uanzie hapo
Sasa reaction za wanawake wa kisasa walio wengi si zipo wazi, wengi wanataka pesa ya wanaume, watapinga hoja. Kundi la Malaya likatae pesa? Hii haikuwa hoja yangu.

Hoja yangu ni kuseal wanawake wote kwenye hilo vazi la umalaya.

Vipi kundi la wanawake porini huko kusipo na access ya network? Wanawakilishwa na hili hili kundi humu JF litakalopinga hoja?

Kuna kijiji nilikuwepo cha wamasai, kuna mama mmoja mwenzangu akampa msaada wa kupata umeme wa sola kwenye nyumba yake ya udongo, yule mama kazaa na hajamuona mwanaume aliyemzalisha miaka na miaka. Kakimbiwa na watoto kaachiwa, kapambana nao huko porini nao ni watu wazima. Huyu haijui ela ya mwanaume lakini si mwanamke? Anaingia kwenye kundi la malaya sababu alizalishwa mwanaume akamtoroka? Huko porini umalaya anaufanya kwa mfumo gani?

Ndo maana nikasema, akitamkwa mwanamke, picha inayojengwa si ya mwanamke wa aina moja tu, wapo wanawake wengi sana wenye hadithi tofauti sana za maisha. Huwezi waweka kwenye kundi moja na kutoa hitimisho.
 
Love u 2 baby girl ShesRise_1 🥰🥰🥰🥰

Have a good day loveee💓💓💓
 
Ufuska mara nyingi ni akili ya mtu tu mkuu wala sio kipato.
Kuna mademu wanatembeza hata matunda mjini ukiwaona ni heri hawa kuliko wa "nakuja ila nadaiwa hela ya kikoba"
Kumbe huwajui watembeza matunda eeeh!!

Mzee ni sehemu chache ambazo mabinti hawatumii maungi yao, sehemu chache mno.

Hao wauza matunda, mihongo na karanga humo barabarani nenda wanakochukulia mzigo huko masokoni utapata habari zao.

Wengi wao unaambiwa ule mzigo anaouza hajanunua kwa asilimia kubwa, anapewa huko sokoni.

Mavazi yao tu yanakupa ishara ya wewe kujiongeza, ni ya stara ila sio stara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…