binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Naibu Rais 😀huyu jamaa atakua na nguvu sana, yaan hadi anakataza uchunguzi huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu Rais 😀huyu jamaa atakua na nguvu sana, yaan hadi anakataza uchunguzi huru
Itakuwa vizuri, hata sisi tunataka Mbowe aende jela…..Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Si ndio itakuwa furaha?sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sana![]()
HII HADITHIMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Uongo anongeaga SamiaAcha uongo we chadema.
kiwewe Cha nini sasa gentleman 🤣Si ndio itakuwa furaha?
Mnahangaika kumtengenezea kesi za uongo na ukweli kwangu wakati mkiruhusu uchunguzi huru anajaa?
Teh teh!
Ktk dhambi kubwa ambayo waislamu tumekatazwa ni propagandaMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Una tabia ya ku project unavyojisikia/unavyojiona kwa wengine… Kiwewe kivipi? wapi? I was just supporting Uchunguzi huru ili Mbowe aende jela 😀kiwewe Cha nini sasa gentleman 🤣
niliona mchecheto na povu kidogo nikajiuliza kulikoni?Una tabia ya ku project unavyojisikia/unavyojiona kwa wengine… Kiwewe kivipi? wapi? I was just supporting Uchunguzi huru ili Mbowe aende jela 😀
Kiwewe says a lot about you not me.
Mzee wako bora angevaa ndom tuMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Mungu Wabariki WazunguWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Wakati ukiwadia hakuna cha kuficha hakuna wa kuzuiaWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
CCM kwa hii albadir hamponi kuna mambo mengi sn mtaumbukaMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
CCM ni wauaji aseeWakati ukiwadia hakuna cha kuficha hakuna wa kuzuia
Yaani maza ako alikosa tu salio la kumpa dokta pale Marie stopes hospitalMzee wako bora angevaa ndom tu
Kuota haijawahi kuwa dhambi! Endelea!Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela