Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Oya, Mods wanazingua sana. Kuna nyuzi kadhaa wadau wameanzisha kuhusu hili jambo, ila watu tukitaka kufungua threads hizo tusome unakutana na ujumbe "Kumradhi kuna changamoto sijui ya makorokocho gani...", uzi haufunguki. Moderators mmekuwaje?
 
Fidia atakadai Lisu kama atashinda tigo wataweza kulipa? Je serikali itakubali kulipa? Au hadi mabeberu washikilie ndege ndipo watalipa?

NB: Tigo kwa sasa ni mali ya RA kwa 100%. Tupeni hizo line za tigo wajameni.
 
Una tabia ya ku project unavyojisikia/unavyojiona kwa wengine… Kiwewe kivipi? wapi? I was just supporting Uchunguzi huru ili Mbowe aende jela 😀

Kiwewe says a lot about you not me.
niliona mchecheto na povu kidogo nikajiuliza kulikoni?

basi sawa,
wacha tuone itakavyokua lakini ni muhimu na vizuri zaidi kua huru kifikra kuliko kutegemea nani atajiskiaje au wengine wataonaje kwenye mawazo, maoni au mtazamo utakoa uibua kulingana na maelezo utakayoyatoa dhidi ya hoja mahususi mezani..

projections kwenye mambo haya saa zinngine ni kama ramli tu 🐒
 
Back
Top Bottom