Wadau hii hand cap inamaanisha nini mfano home time anaongoza
Then hand cap ikawa hivi
(1)0:3. X(0:3). (2)0:3
Hapo inamaanisha nn na vipi ukiwek kwenye droo
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Hebu tuma 20000 mpesa sasa tusherehekee wote 😀
Sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee hizi kampuni zetu za kibongo zinatukomesha..
Huu ukaguz wangekuwa wanaufanya wakat wa kudeposit ingependeza, wasipokee hela mpaka wajiridhisheUkishinda, ukataka kutoa hela kuanzia Elfu 20...Watakwambia uwatumie tena kitambulisho kwenye namba yao ya Whatsapp...wacceeng sana hao jamaa.
Wanadai wenyewe wapo idara tofauti na hao uliowatumia picha pale kweny kipengele cha Security kwenye web yao...hahaha
Kwa hiyo kuna kutuma kitambulisho mara mbili.
unajua broo nakuheshimu sana...i wish usiwe unataniaMorning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
Mkuu meli leo haiji au zilizoko njiani zinasubiriwa kwanzaWazee wa feri, Meli yetu ileeeeeeee!!!!!View attachment 1174105View attachment 1174106View attachment 1174107
Mdau unatuonjesha halafu wewe unapotea Mazima hata kutupa lonja kidogoMorning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
Kipindi kile ilikua murua sana..hela unapata kama ilivyo kwenye slip...sasa hiv dharau nying!Nimekaa nimekumbuka zaman tulikiwa tunathaminiwa na makampuni ya bet, mfano MERIDIAN ulikuwa ukishinda ukatoa kwa mpesa wanakutumia na HELA YA KUTOLEA
Hiv hua ni makusudi ili tu watu wasibeti au ni vp..mana hili tatizo lina miaka ming sana!Nabaki kushangaa sijui nini kinawasibu kwenye hili...
Meridian wanapiga hela zaidi kwenye maduka yao kuliko onlineHiv hua ni makusudi ili tu watu wasibeti au ni vp..mana hili tatizo lina miaka ming sana!
Hiv kuna meridian official kuacha hii inayotumia kiunganishi cha ".co.tz" kama ilivyo premeir bet yenye yake official
Tusubiri kwanza mkuu ngoma zitue...Mkuu meli leo haiji au zilizoko njiani zinasubiriwa kwanza
Ulitumia localbiticoin?Msaada wadau nimeweka pesa 1xbet kwa kupitia bitcoin lakini ninapojaribu kutoa wana reject transaction wanadai nitoe kupitia njia niliyowekea sijui nakosea wapi ..mwenye kujua tafadhari.
CongratulationKanji wiki ijayo nikimkosa hapo nampga hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1169164View attachment 1169165
hata mimi nimeckia kule fb kuna jamaa kapost picture alikuwa anachat na wale ma,customer care wakamwambia kuwa watarudisha payment method za huku kwetu tzMorning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
hata mimi nimeckia kule fb kuna jamaa kapost picture alikuwa anachat na wale ma,customer care wakamwambia kuwa watarudisha payment method za huku kwetu tz
Ila me nadhani watarudi fasta because kenya wameshindwa hizo sheria zao
Kenya hawakuweka sheria yoyote ile bali kumbana tu alipe kodi kutokana na mapato anayoyaingiza kitu ambacho kimemuwia ugumu 1xbet. Na hata hao jamaa wakija huku, kinyume na watu wawazavyo, hawawezi wakawa the same. Lazima kodi ikatwe.hata mimi nimeckia kule fb kuna jamaa kapost picture alikuwa anachat na wale ma,customer care wakamwambia kuwa watarudisha payment method za huku kwetu tz
Ila me nadhani watarudi fasta because kenya wameshindwa hizo sheria zao
Kama ishu ni kodi mbona 22bet wanaendelea Kenya wakiwa na mfumo ule ule wa kutokatwa kodi? Hawa na 1xbet ni ndugu.Kenya hawakuweka sheria yoyote ile bali kumbana tu alipe kodi kutokana na mapato anayoyaingiza kitu ambacho kimemuwia ugumu 1xbet. Na hata hao jamaa wakija huku, kinyume na watu wawazavyo, hawawezi wakawa the same. Lazima kodi ikatwe.
Tazama Parimatch na Betpawa walikuwa hawana hayo mambo, leo yameishia wapi? Makato kama kawaida.