Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawahi kubet kichaa Leo nataka nijaribu. Naomba msaada hizi zina maanisha Nini kwenye option huko betpawa?

1/2
2/1
2/2
1/1
x/1
1/x
x/2
2/x.
Asanteni.
Sikupi jibu, nakupa njia ili jibu upate mwenyewe.
2= Away = Alieko Ugenini
1= Home = Anaecheza Nyumbani
X = Draw
/ = inagawa vipindi, cha kwanza na full time .

So hapo ni nani ashinde kipindi cha kwanza na nani ashinde full time.
 
Umesoma maelezo jamaa kajibu kasema hajala bado aya
 
Sikupi jibu, nakupa njia ili jibu upate mwenyewe.
2= Away = Alieko Ugenini
1= Home = Anaecheza Nyumbani
X = Draw
/ = inagawa vipindi, cha kwanza na full time .

So hapo ni nani ashinde kipindi cha kwanza na nani ashinde full time.
Shukrani Sana mkuu. Nimeuona mwanga. Nataka Leo nivunje record ya kuotea uefa
 
Mrejesho:

Nmeletwa hii meseji,

Tuijadili inataka niniView attachment 1287660
It simply means umekinzana na Sheria yao inayokutaka kubetia kwanza hela uliyodeposit kwa angalau odds ya 1.1 ndio uweze kuendelea kufanya muamala wa kutoa pesa.

Hauruhusiwi kuweka na kutoa hela bila kutandika mkeka wowote. Hapo unatakiwa utandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 ndio uendelee na mlolongo wa kutoa hela vinginevyo haiwezekani.

Sijui nimeeleweka?
 
Poa, hebu nijaribu kufanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…