Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeingia Meridian (football) naona kuna kitu inaitwa Meridian Premier League kaweka baadh ya teams na kuzipa odd kubwa ila kuna option chache
Usijaribu bet kwa ela ya ziada kama Ile iliyokwenye bajeti ya kuonga au ya bia we endelea Na biashara yako
 
sijui jinsi ya kubet , nataka nianze kubet, kiukweli soccer naijua vizuri , watching live since euro 1992 , so nisaidie maelezo

Kwa niaba ya Rockcity native ( CEO wa mikekani investment) na wadau wote wa kilinge hiki, Naomba nichukue wasaa huu kukukaribisha katika kilinge. Maelezo gani unayoyataka wewe.?
 
Niliwai kubet asbui na game moja imeshachezwa

Perth 1.49
Besktas 1.29
H. sheva 1.30
Pagon 1x 1.19
Rio Ave 1x 1.19

hiyo ya kwanza imeshaisha ilikua saa sita mchana imeshinda 2-0 unaweza kucheza hizo zingine...
 
Point 4 hizo
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-07-15-25-25.png
    28 KB · Views: 55
Ok ntaiweka kesho iyo game za leo chenga
 
handcap ni ushindi uwe wa tofauti goli 2 na kuendelea... Mfano 2-0, 3-1, 4-2, 4-0
Cap zipo nyingi... Mfano unayoongelea ni cap ya - 1,mfano Hii inahitaji tofauti ya goli mbili kama unayosema, Kuna cap ya pili - 2, Hii timu inatakiwa kashinda kwa tofauti ya goli 3 Yaani 3-0, 4-1,5-2 n. K, Kuna cap tatu - 3 Hii ashinde kwa tofauti ya goli 4 Yaani 5-1,4-0,...... So ukizikuta hizo cap(European cap) ndio kama hivyo yani
 
Normal ushindi wa kawaida, handcap timu ishinde lakini tofauti ya goli moja mfano 1-0, 2-1, 3-2
ok , kwa hiyo probability ya kuwin normal ni zaidi ya handicap ? vipi treatment ya zawadi kwenye hizo , ni tofauti ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…