E8D5405
Mtaalam mmoja anisaidie kuedit hapo nilipuke
Tunaweza tukatoboa japo mkeka unapitia majaribu mazito (mf Bolton wonderers)
Hiyo wewe pick tu, huo mzigo unatokaga kwa bahati hapo hata Sky Sports wakusaidie uchambuzi kama haipo haipo.Jamani tuna haja ya kuchambua hii kitu
View attachment 2144030View attachment 2144031View attachment 2144032View attachment 2144034
Mi wa kwanza huo ndo nimepita nao
Huu mkeka, nimeupenda
Yaani huu mkeka usipopinduka leo unatoboa aiseeHuu mkeka, nimeupenda
Yaan hio stake nilioweka sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shukrani zimemfikie View attachment 2144489
Kabisa yaan ulikuwa wakuweka stake ya maana mhindi angeliaYaani huu mkeka usipopinduka leo unatoboa aisee
Hajielewi kabisa, humu ni mwendo wa code tuYaani wew bado sana..! Nenda uko face book na insta ukatafute tafute
Huko utakutana na wenzako wazee wa correct score na screenshot wameweka kama wewe
Mfano wa mechiSijaelewa kabisa.
Mzee hapo red card inahusikaMeaning of sending off......