JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
tutumie mizimu ya wapiHuu Mchezo wa Betting bila kuwa na Back up ya Mizimu Hutoboi
NakaziaOgopa sana Timu iliyoshinda mechi kuanzia 5 mfululizo,
yan huwa kat ya mechi kuanzia ya 6 mpaka ya 9 lazima kuna moja tu atapoteza kam sio kudraw tena ile Draw kavu kabsa ya bila bila.
Ushahidi wa hilo rejea mechi ya mwisho kati ya Algeria vs Tanzania.
Daaa alafu kuna hela ya maana naisikilizia toka kwakeOgopa sana Timu iliyoshinda mechi kuanzia 5 mfululizo,
yan huwa kat ya mechi kuanzia ya 6 mpaka ya 9 lazima kuna moja tu atapoteza kam sio kudraw tena ile Draw kavu kabsa ya bila bila.
Ushahidi wa hilo rejea mechi ya mwisho kati ya Algeria vs Tanzania.
vipi mitego yako
Mrejesho ni kama ifuatavyo:Vip had sahz umefankiwa hata moja?
Ulimpa portugal direct Win au ?Daaa alafu kuna hela ya maana naisikilizia toka kwake
Aisee ya kabila lolote tu ilimladi iwe ni Mizimu 😀tutumie mizimu ya wapi
nimeamua kuachana nayo,200 nikapata 680.53
kwa data hizo unaweza kufanya analysis zaidi na ukaona nini cha kufanya.
DR Mambo AMP umefanya jambo la maana sana kutuelekeza jinsi ya kupredict kwa kutumia AI ya Google. hata hivyo AI ya Google bado ina changamoto kama za real time bots nyingine kama AI ya Microsoft (your copilot AI) na AI ya Opera (Aria AI).Nenda kwenye Bard.google com..andika maelezo ya prediction kama unaweza andika kama mi nilivyoandika au vyovyote unaweka mechi zako na option unazotaka prediction unaweza ukawaomba wakuambie chxhte kile ni AI iliyo online tofauti na ChatGpt kwahyo maelezo yote watakupatia baada ya kurun algorism..
Kwa mfano unaweza andika hivi ....
please predicts these match and provide the correct score ,clean shots,number of cards,number of corner,Double chance ,score GG or No ,under and over ,win to nill, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game
pfk piestany vs spartak myjava
sama vs om al qutain
helsingborgs Of u21 vs halmstads bk u21
el sekka e hadid vs gazl kafr eldwar
Hiyo Your Capilot Ai sijaijua na Aria bado sijaijaribu ila kwa Bard nimeijaribu inaonyesha mpaka mechi za ligi ndogo snaaDR Mambo AMP umefanya jambo la maana sana kutuelekeza jinsi ya kupredict kwa kutumia AI ya Google. hata hivyo AI ya Google bado ina changamoto kama za real time bots nyingine kama AI ya Microsoft (your copilot AI) na AI ya Opera (Aria AI).
changamoto zenyewe ni:
1: zinapredict vizuri mechi mojamoja utakazoziuliza.
2: haziwezi kukuorodheshea mechi nyingi za kesho:
zikikuorodheshea zitakutajia mechi za ligi kubwa ambazo siyo za kesho. mfano unataka kupata list ya mechi za kesho zitakazotoa over 1.5. ukiiambia bot ikutajie mechi za kesho zitakazotoa over 1.5, itakutajia mechi za ligi kubwa hata kama siyo za kesho, yenyewe inakutajia za ligi kubwa tu hata kama siyo za kesho.
Mkuu una link zakeDR Mambo AMP umefanya jambo la maana sana kutuelekeza jinsi ya kupredict kwa kutumia AI ya Google. hata hivyo AI ya Google bado ina changamoto kama za real time bots nyingine kama AI ya Microsoft (your copilot AI) na AI ya Opera (Aria AI).
changamoto zenyewe ni:
1: zinapredict vizuri mechi mojamoja utakazoziuliza.
2: haziwezi kukuorodheshea mechi nyingi za kesho:
zikikuorodheshea zitakutajia mechi za ligi kubwa ambazo siyo za kesho. mfano unataka kupata list ya mechi za kesho zitakazotoa over 1.5. ukiiambia bot ikutajie mechi za kesho zitakazotoa over 1.5, itakutajia mechi za ligi kubwa hata kama siyo za kesho, yenyewe inakutajia za ligi kubwa tu hata kama siyo za kesho.
hongera mkuuKuna treni mbili nilitupia mpaka leo zinasonga tu, mwenye macho na aone 😃😃
Aria AI ya Opera utaipata kwenye beta versions za Opera. AI ya Microsoft (your copilot AI) utaipata kwenye app ya microsoft ya bing.Hiyo Your Capilot Ai sijaijua na Aria bado sijaijaribu ila kwa Bard nimeijaribu inaonyesha mpaka mechi za ligi ndogo snaa
F1B0807hongera mkuu
pamoja hatuachi maokotoF1B0807
CE22EE9 code ni hizi chukua edit harafu ukachekeee chooni au kimya kimya🤣