Ungestake 10K ungechanika mapema....betting ni uchawiMaajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Means ipo...niPM tafadhaliInatiki. Ila kuna kitu nilitaka ku share na wewe ila sina means.
Nasikia huko mnafuataka options nyingi...huwa mnashinda sana?Hizi kampuni za kufanana na 1x ni shida, 888stars,namalizia kusuka keka tu.... Kuangalia... Hakuna option za kuweka wala kutoa!!!
Tukomae na kampuni zetu tulizozoea tu
Niliangalia pia,lakini naona kama watu weusi wakikutana wenyewe mpira utabadilika siyo kama waarabumechi ya medeama na belouzdad niliicheki aisee mediama wanapiga mpira sio poa
Mtaalamu wa ExcelProject bombay 02 jana ilipata mtikisiko wa man city, ila haikupata hasara.
View attachment 2835628
kafaida flani mbuzi
View attachment 2835629
B582BEF edited594418 odds 255 sporty
YANGA WINMKEKA WA MAOKOTO! ISHI NAO LEO
MEDEAMA-YANGA..
AL AHLY-BELOUIZDAD..
GETAFE-VALENCIA..
JUVENTUS-NAPOLI...
AL NASSR-AL RIYADH..
Wandugu mmoja anaejua mpira atengeneze basi.
Mnachekesha sana46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope [emoji725]
NI HATARIII HOGOPAAAAA... NOMA SANA MWAMBAA46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞
Hii ni betpawa auB582BEF edited
SportyHii ni betpawa au
Jumapili yupo na girona, msimu huu wana moto wale watotoPia kwenye kuchagua direct win ni muhimu sana kuangalia matokeo ya timu ya mechi tatu zilizopita kwenye ligi husika.
Mfano Barcelona anawin hata mechi ngumu, huyu ndiyo unaendelea naye kumpa direct win hadi siku aanze chana.
Sasa utaperi wake uko wapi hapo?Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.
.
Safari bado ndefu, jumamosi ana kibarua cha aston villa alafu mwaka ukipinduka arsenal ndio huwa majanga yanaanzaNawaza na kutafakali...
Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!
Nawaza tu
Ukubwa wa odds usikutishe. We fanya uchambuzi wako tu. Yanga bado sio maarufu kama simba uko uko caf ndio maana anaonekana under dog na izo odds zinakokotolewa na kompyuta ambayo inachakata data haiangalii mpira. Villa kampiga city juzi akiwa na odds nyingi tu na game ambayo tulishapeana taarifa humu kwamba city hana kiungo mkabaji na villa wanacheza kaunta attack kuna harufu ya hatari hapo. Kuna timu nyingine inaitwa bayadh ipo ligi kuu ya algeria uko kapewa odds 4 leo halafu nahisi anashindaMedeama kapewa 1.80 na Yanga 4.10
Mbona sielewi hapa, ina maana Medeama ni wazuri zaidi kuliko Yanga ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ligi ya wastaafu saudi arabia nikiiona huwa naipita kama sijui chochote vile.MKEKA WA MAOKOTO! ISHI NAO LEO
MEDEAMA-YANGA..
AL AHLY-BELOUIZDAD..
GETAFE-VALENCIA..
JUVENTUS-NAPOLI...
AL NASSR-AL RIYADH..
Wandugu mmoja anaejua mpira atengeneze basi.
Gane za mwisho inabidi uwe ngangari kamuangalie botafogo wa brazil game 10 za mwisho 🤣🤣 alikua anabeba ubingwa aisee ila alichokifanyaSafari bado ndefu, jumamosi ana kibarua cha aston villa alafu mwaka ukipinduka arsenal ndio huwa majanga yanaanza