Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Kunajua jamaaa alitupiaga codes humu za bet pawa niliweka mia mbili nikala 51k sijui ni nani huyoMbona Umempeleka mbali sana!?
Laki 2 yenyewe mtihani! Anawaza milioni 200!?... Anafikiri ni mtelezo!? Kama maporomoko ya mlima hanang!?
Nanunua ugomvi,alaaaaHumu ukichukulia serious kila kitu... Hukuwezi... Humu Kuna mida ya kupunguza stress ili maisha yaendelee...
Mipasho ni sehemu ya kazi...
Mida ya kusikiza wadhamini wetu!
Mfano mtu kapigwa kilo 2 kwa Bayern, ama kachaniwa na singida bs over 0.5...
halafu umwambie afuatilie habari ya mafuriko ya katesh....
Wakati moyo wake tu umejaa mafuriko ya hasira! Atakuelewa!?
TANGAZO - TANGAZO - TANGAZO
SGR:-
Ninekuwa nikiwaza mnoo haya Ma SGR Trains ya SPORTBETY tunayotengeneza.Mie ni Member na ninekuwa nasuka kila siku
Huwa nawaza UVUMILIVU Gani ninao au tunao umestake 500 kwa mkeka wa milioni 10 au 50 then uvumilie kipindi Cashout inasoma milioni 3 au? Kweli Kabisaaa Moyo huo tunao?
Maana hapa tu Mechi tatu mtu hasubiri,fasta anatoa.
Sasa Mbali na changamoto za kuutoboa wote kuwa ngum,but hili la Kuvumilia ni gum kulikoooo.
Nimewaza na niaenda kutekeleza:-
Natafuta Kampuni ambayo haina Cashout mfano BETIKA,then huko ndio nasuka Matreni,au kampuni nyingine yoyote ambayo ina options za kutosha but with no Cashout button.
Hapo itakuwa nikiweka nimeweka.Then My favourite SPORTBETY itakuwa kwa Mikeka ya Kawaida,leo na kesho basi,mifupi tu.
Akili yangu imenituma hilo na ninaenda kulitekeleza.
Maana sitaki kujidanganya eti Cashout isome milioni 3 kwa mkeka wa milioni 20 eti nisubirie,duhhh hapana.So,Mantiki ya SGR train inapotea.
Our of BETIKA,ni Kampuni ipi with options nzuri but no Cashout
I second you... Betika has no cash out... But have the best odds_ markets,TANGAZO - TANGAZO - TANGAZO
SGR:-
Ninekuwa nikiwaza mnoo haya Ma SGR Trains ya SPORTBETY tunayotengeneza.Mie ni Member na ninekuwa nasuka kila siku
Huwa nawaza UVUMILIVU Gani ninao au tunao umestake 500 kwa mkeka wa milioni 10 au 50 then uvumilie kipindi Cashout inasoma milioni 3 au? Kweli Kabisaaa Moyo huo tunao?
Maana hapa tu Mechi tatu mtu hasubiri,fasta anatoa.
Sasa Mbali na changamoto za kuutoboa wote kuwa ngum,but hili la Kuvumilia ni gum kulikoooo.
Nimewaza na niaenda kutekeleza:-
Natafuta Kampuni ambayo haina Cashout mfano BETIKA,then huko ndio nasuka Matreni,au kampuni nyingine yoyote ambayo ina options za kutosha but with no Cashout button.
Hapo itakuwa nikiweka nimeweka.Then My favourite SPORTBETY itakuwa kwa Mikeka ya Kawaida,leo na kesho basi,mifupi tu.
Akili yangu imenituma hilo na ninaenda kulitekeleza.
Maana sitaki kujidanganya eti Cashout isome milioni 3 kwa mkeka wa milioni 20 eti nisubirie,duhhh hapana.So,Mantiki ya SGR train inapotea.
Our of BETIKA,ni Kampuni ipi with options nzuri but no Cashout
Sasa Muungwana huwezi kuacha kumtafuta humu,na huwezi kunkosa angalau hata Buku 5 umpe ya kumtia Moyo.Kunajua jamaaa alitupiaga codes humu za bet pawa niliweka mia mbili nikala 51k sijui ni nani huyo
Yani kama ningekuwa nimeweka hata buku 10 ningekula parefu sana
😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏Sisi Wadandiaji wa Train hasa hizi za umeme
Tumeridhia na nikuhakikishie ulipo NIPO[emoji41]
🙏🙏🙏🙏I second you... Betika has no cash out... But have the best odds_ markets,
Kitakacho kushitua kuwa umewin ni msg yao tu ya win toka mtandao unaoutumia, na ntaliunda!
Wewe ulimtafuta ukampa?Sasa Muungwana huwezi kuacha kumtafuta humu,na huwezi kunkosa angalau hata Buku 5 umpe ya kumtia Moyo.
Shida inakuja mtu akila basi ghafla pesa haimtoshi.
KabooooooomBUNLEY UN 21
OV 2.5
1.50
WOLVES U 21
OV 2.5
1.50
MXB
Umeanza kubet Jana labda sikushangai na ngonjera zako za kitotoKaa na ujinga wako wa kusubiri code , utaendelea kupigwa mpk basi.. nasikitika kwa una miaka haujawai kula kila siku unampa muhindi.
Alafu pia sijaandika kwasababu yako ila nimeandika kwa wale walio sirias na betting.
Ww endelea kuchangia kampuni
Commentini warudishe bonus maana kupiga hizo hela wanazopost kwa bonus hamna.. labda wapost mkeka mzima ndo nitaamini.Betpawa wanatupia post za wahuni waliowapiga,kwenye page yao ya fb, hivi kweli kampuni inaweza kufanya mchezo wa kutuzugia, 🤔🤔
Wewe na invigilator ni ma king...asa siku nitajaribu kuunganisha mechi zako zote za siku nitengeneze mkeka maana hio match moja moja haina helaKabooooooom
badoHiyo 20 yenyewe umesha ila?