kabet liveLeo nimeshinda nachambua timu na kwenye huu uzi tu mpaka mbupu zinawaka moto ila mwisho wa siku hamna nilichopata kanjii kachukua mikeka yote! Bora ningeenda hata beach nikala upepo wa bahari! Nipeni odds 4 nimalizie haka ka elfu 11200 kalikobaki sporty bet ili nihesabu hasara tu jumla kwa leo [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa anatafuta mikeka yote haionekaniNiongeze bia sasa mwendo nimeumaliza
joy is coming here[emoji4] sogea karibu na mpesaTip 2
Marseille vs Clermont Foot - Home win
Freiburg vs Cologne - Home or draw
Arsenal - Brighton - Ov 1.5
Las palmas vs Cadiz - Home or draw
Fiorentina vs Verona - Home win
4.27 Odds.
Ila ujue Mechi ikichana kwako basi kwa mwenzio imetickiNawaambien...haya mambo ni kiini macho..siamin ktk ulozi lakin kwa haya yanayo endelea sio jambo la kawaida...kuna VAR na vile vimic vya refa pamoja linesmen..hatujui huwa wanaongea nini...sio buree..huu ni mchezo kama miereka tu..mshindi anapangwa...haiwezekan katk mia mwenye akili awe mmoja..aloo
πππLeo nimeshinda nachambua timu na kwenye huu uzi tu mpaka mbupu zinawaka moto ila mwisho wa siku hamna nilichopata kanjii kachukua mikeka yote! Bora ningeenda hata beach nikala upepo wa bahari! Nipeni odds 4 nimalizie haka ka elfu 11200 kalikobaki sporty bet ili nihesabu hasara tu jumla kwa leo π
Man niliweka x mzigo umetiki bado mechi chache mkeka ukamilikeman u kashikilia bombaaaa 90 mns
Hakuna marehemu ataachakuzikwa
Ameeen hawaa washakataana sijuidrw yangapi nwMi
Man niliweka x mzigo umetiki bado mechi chache mkeka ukamilike
Nipo aise! Mambo kadhaa yanatuweka busy kidogo ila nipo bossPia huyu jamaangu yuko wapi Ibudigital
Uliweka au ulijiuliza?Manchester United nimpe ashinde au a drow odds 3 za bure hizi