Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habariwanafamilia Naomba Msaada wa Timu tani Ambazo ndio kwenye league zao ndio zinaanza na zinaonesha kuweza kushinda mechi tatu za mwanzo kwa kila league naomba timu 2 kama unawezo nayo twende sawa ndugu
 
Mkakati mzuri kunasubiri code tuko pamoja
 
Wapuuzi niliwapa corner over 2.5 first half
 

Attachments

  • Screenshot_20240815-204001.png
    349.9 KB · Views: 4
Namsubiri mrusi aweke hela ya supu, kesho asubuhi nipitie kwa mama bonge
 
Pazia linaanza keshoo rasmi
Muwe makini na timu kubwa kesho zisiwaumize mkasema sijawaambia

Niko kwa wakala omar ...
 
Pazia linaanza keshoo rasmi
Muwe makini na timu kubwa kesho zisiwaumize mkasema sijawaambia

Niko kwa wakala omar ...
Kweli kabisa mpwa. Matimu bado hayajatulia kabisa. Ni bora kubet magoli, corners, bookings na vitu vingine kuliko kubet wins. Leo vipigo vinaanza kama kawaida aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…