Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Hawa ndo wenyewe sasa.Na sportybet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo wenyewe sasa.Na sportybet
Mkakati mzuri kunasubiri code tuko pamojaJaribio la kwanza kuanza msim
Ukiona mpaka Jumatatu hata single bet hujala basi Jumapili yake mbio kwa Mwamposa namie nitakuwepo
Narudi na mikeka 10
Kila mmoja hauzidi Odds 10.
Haya Mambo ya Buku ule milioni hapana kabisaa,
Wil be right back in an hour, stay tuned
never chase losses in betting
Carabao na uefa imemwagika migoli si mchezo.Nimejilaumu mno kutosuka mkela jana labda ningerudisha loss zangu.
Ngoja waje wakusikieManyu huyo
Kweli kabisa mpwa. Matimu bado hayajatulia kabisa. Ni bora kubet magoli, corners, bookings na vitu vingine kuliko kubet wins. Leo vipigo vinaanza kama kawaida aisee.Pazia linaanza keshoo rasmi
Muwe makini na timu kubwa kesho zisiwaumize mkasema sijawaambia
Niko kwa wakala omar ...