Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ac Milan ni ma*******..... Wenzake wote wameshatoa kona under 12.5, sasa yeye kaenda halftym na kona 10...... Kanjibah ni noma..... Duuuh
 
SAMATTAAAAA Hat trick.I bet atakuwa mfungaji bora msimu huu maana ana goli 4 tayari mpaka sasa.
 
Mi niliweka Pesa nimefatilia had nmegive up! Nmeamua kubak na Mkeka bet maana kwenye Pesa awazengui na hata likitokea tatizo ukiwajulisha tu wao wenyewe wanaanza kukupugia sim .
wacha tuwakimbie maana option zipo karibia sawa
 
sijui mchawi atakuwa nani???


1153966739691 Standard account
------------------------------------------
[10/10]
0934 21-08 21:45:00 P S G-Metz
Total Goals 2-4 1.71
1143 21-08 20:45:00 M. Tel Aviv-H. Kfar Sa
Total Goals 2-4 1.54
0296 21-08 21:00:00 Gent-Westerlo
Total Goals 2-4 1.59
2456 21-08 22:15:00 Benfica-Setubal
Total Goals 2-4 1.58
1477 21-08 21:45:00 Basaksehir-Fenerbahce
Total Goals 2-4 1.59
2724 21-08 21:15:00 Maribor-Aluminij
Total Goals 2-4 1.52
1081 21-08 20:30:00 Sparta P.-Jablonec
Total Goals 2-4 1.58
1751 21-08 21:45:00 Pescara-Napoli
Total Goals 2-4 1.61
1012 21-08 23:15:00 Atletico Madrid-Alaves
Total Goals 2-4 1.61
1011 21-08 21:15:00 Real Sociedad-Real Mad
Total Goals 2-4 1.61
------------------------------------------
Total: 3600.00
------------------------------------------
Total odd: 105.43
Max payout: 379532.50
Combination count: 1
------------------------------------------
21-08 20:24:30
 
wadau wa online naona hela hapa

1153966817516 Standard account
------------------------------------------
[2/2]
9028 *** Basaksehir-Fenerbahce
Final Score 2 5.00
9052 *** Pescara-Napoli
Final Score 2 2.10
------------------------------------------
Total: 9000.00
------------------------------------------
Total odd: 10.50
Max payout: 94500.00
Combination count: 1
------------------------------------------
21-08 22:07:49
 
Zorya luhansk Win

Atletico Win

Real Madrid Win

PSG Win

Benfica Win

Shakter Donetsk Win

Bayer Leverkusen Win

stake:2000
Bet lost

Benfica dah umekula mtaji wng [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Huyu naye kaniaribia Na Mimi yeye Na liver Na Ajax alafu kila MTU kachana mkeka wake
Mkuu mpaka ninavyoandika hivi sasa nimeshindwa kulala yaani katika timu 8 kwa mchezo wa double chance Atltetico nilimpa win or Lose yeye kafunga penat dakika ya 91 kachomolewa dakika ya 91 sio bure kuna ndumba hapa
 
Ac Milan ntakulaani mpaka ukome....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-22-05-51-46.png
    27.5 KB · Views: 41
Wakuu mbona mnaficha mikeka kabla ya mechi afu baada ya mechi ndo mnaleta huku mngekuwa mnaleta ili na wadau wawe wanatoa maoni yao kuhusu mechi tulizochagua[emoji17]
 
Mkuu mpaka ninavyoandika hivi sasa nimeshindwa kulala yaani katika timu 8 kwa mchezo wa double chance Atltetico nilimpa win or Lose yeye kafunga penat dakika ya 91 kachomolewa dakika ya 91 sio bure kuna ndumba hapa
Pole sana mkuu Mimi sasa nimefanya bet ni mchezo Wa bahati tu maana Jana liver leo. Altetico ila ipo siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…