IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 434
- 95
mkuu natumia huawei p6 ila imenigomea katakata kufungua meridianbet..nimeshaidownload toka playstore ila imegoma kabisa kufunguka inakuwa black tu...nimeiunstall na kuinstall mara kibao tatizo liko pale pale sijui tatizo nini...inaninyima raha mpaka nitumie pc
Raimundo hiyo millioni moja si afazali ucheze Red mech zako 3 za uhakika mchezo umeisha unaingiza profit yako.
Barcelona kwa kawaida huwa anafungwa mechi mbili kwa msmu.. Ameshinda nyingi huenda hii akafungwa au kudraw.. Nakushauri weka option ya magoli ktk mech ya barca na bayern
pia mechi ya leicester iondoe tafuta nyingine ht ya italy hv..
Natafuta options zitakazonipa mtaji wa kama mil 3 kuendelea ili nianze kucheza next level, hizi elfu 10,000 zinanila muda tu, siwezi kutoka.
So nataka kuamua moja, nibet nipoteze niachane na hii biashara, au nibet nile wadosi wanikatae!
Tena red nimekoma sizichezi, maana ni ngumu sana kutabili.
Idea yako nzur sana maana double chance ndo option nzur ila sasa unakosea kuwaweka timu ndogo hizo maana ni nzur pale zinapomkamia mkubwa ndo maana unashauriwa uende hata italy yaan ukimpa double chance roma au juve hapo ni 90% maaana kufungwa hawa watu mara chache sana
Double chance Juve ana 1.06, huyu nafikiria kumpa ushindi kabisa. Roma nina wasi wasi atanipa presha sana.
Wakuu nimejiunga meridian betting online, hawa wajamaa wanarahisisha sana betting, Sio Kama premier wazushi. Tupeana maujanja tuwale hawa makanjibahi mpk wafilisike hawaaaaaa
handicap H1ni wa home ashinde kwa handicapJaman msaada meridian difference ya one goal unawekaje maana handicap zpo kibao
Nahisi nimegundua kitu..!!!!!!
Hizi timu ndogo ndogo huwa zinanunuliwa ili watu tuliwe. Nina mifano miwili last week nilibet timu kadhaa kati yake Ilikuwa mechi moja ya saa nane usiku timu za Argentina. Mechi zote zilienda kama ilivyotarajiwa. Yaani matokeo yalikuwa yanatabirika na yakaenda sawa. Ajabu sasa Argentina: timu niliyoipa imemuacha mpinzani zaidi ya nafasi 10 kwenye table, last 5 imeshinda mechi 3 na draw 2, mpinzani kadraw 2 lost 3. Na niliyempa yuko home. Nimelala nikijua kesho naenda kuchukua mpunga nimeamka nimekuta timu yangu ikiwa nyumbani imepigwa 3-0 !! Jamani huo ni mpira kweli au tunaibiwa? Leo Plymouth ambayo iko nafasi ya 8 daraja la 2 wameifunga swindon ambayo iko nafas ya 2 daraja la kwanza..!! Hii kazi kama kuchimba madini haina formula
handicap H1ni wa home ashinde kwa handicap
handicap H2 ni wa ugenini ashinde kwa handicap
meridian wa home wanampa -ve wa ugenini wanampa+ve
mfano
england vs san marino
handicap wa home
-1,-1.5,-2
handicap za ugenini
+1, +1.5,+2
vilevile unaweza kumkataa england hashindi kwa magoli zaid ya mawili, inakuwa -1.5 or -2 H2
So nkitaka nseme england 2 san marino 1 inakuwa naweka ipi hapo
Dahhh hii option ya
1x&0-3 na 1x&2+ iko poa sana wadau odds zake nzuri ni rahisi kula mpunda
kuna mdau aliipendekeza
nimepanga team 20
Nasubiri matokeo ya mechi 4 za leo na kesho
nikipata naondoka na m. 2.5 Kwa 500
no excuse tehh
Jamani leo wapi twaweka mitaji yetu?