Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu natumia huawei p6 ila imenigomea katakata kufungua meridianbet..nimeshaidownload toka playstore ila imegoma kabisa kufunguka inakuwa black tu...nimeiunstall na kuinstall mara kibao tatizo liko pale pale sijui tatizo nini...inaninyima raha mpaka nitumie pc

Achana na App tumia browser ya kawaida kwenye simu yako www.meridian.co.tz
 
Raimundo hiyo millioni moja si afazali ucheze Red mech zako 3 za uhakika mchezo umeisha unaingiza profit yako.

Natafuta options zitakazonipa mtaji wa kama mil 3 kuendelea ili nianze kucheza next level, hizi elfu 10,000 zinanila muda tu, siwezi kutoka.

So nataka kuamua moja, nibet nipoteze niachane na hii biashara, au nibet nile wadosi wanikatae!

Tena red nimekoma sizichezi, maana ni ngumu sana kutabili.
 
Barcelona kwa kawaida huwa anafungwa mechi mbili kwa msmu.. Ameshinda nyingi huenda hii akafungwa au kudraw.. Nakushauri weka option ya magoli ktk mech ya barca na bayern

pia mechi ya leicester iondoe tafuta nyingine ht ya italy hv..

Nimekusoma mkuu, ngoja nichekeche hizi options!
 
Dahhh hii option ya
1x&0-3 na 1x&2+ iko poa sana wadau odds zake nzuri ni rahisi kula mpunda

kuna mdau aliipendekeza

nimepanga team 20

Nasubiri matokeo ya mechi 4 za leo na kesho

nikipata naondoka na m. 2.5 Kwa 500
no excuse tehh
 
Natafuta options zitakazonipa mtaji wa kama mil 3 kuendelea ili nianze kucheza next level, hizi elfu 10,000 zinanila muda tu, siwezi kutoka.

So nataka kuamua moja, nibet nipoteze niachane na hii biashara, au nibet nile wadosi wanikatae!

Tena red nimekoma sizichezi, maana ni ngumu sana kutabili.

Idea yako nzur sana maana double chance ndo option nzur ila sasa unakosea kuwaweka timu ndogo hizo maana ni nzur pale zinapomkamia mkubwa ndo maana unashauriwa uende hata italy yaan ukimpa double chance roma au juve hapo ni 90% maaana kufungwa hawa watu mara chache sana
 
Double chance Juve ana 1.06, huyu nafikiria kumpa ushindi kabisa. Roma nina wasi wasi atanipa presha sana.
 
Duh...mmh kubeti noma...yani jana handicap England 1.05..Spain 2.01...ukizidisha unapata 2. Kadhaa...yni bdo kidogo niweke 100000...saivi muhindi angekua anacheka......seriiously Spain yenye Coke Fabregas Iniesta katikati mbele Silva na costa wanalose ...tena kwenye michuano ya kusaka tiketi..afadhali ingekua friendly...Casillas bonge la boko........
 
Wakuu nimejiunga meridian betting online, hawa wajamaa wanarahisisha sana betting, Sio Kama premier wazushi. Tupeana maujanja tuwale hawa makanjibahi mpk wafilisike hawaaaaaa

mkuu betting haiko hivyo ukiingia kichwakichwa kwa gia ya kufilis kampun huwez utaliwa tyu kila cku.
 
Jaman msaada meridian difference ya one goal unawekaje maana handicap zpo kibao
 
Jaman msaada meridian difference ya one goal unawekaje maana handicap zpo kibao
handicap H1ni wa home ashinde kwa handicap
handicap H2 ni wa ugenini ashinde kwa handicap

meridian wa home wanampa -ve wa ugenini wanampa+ve

mfano

england vs san marino

handicap wa home
-1,-1.5,-2

handicap za ugenini
+1, +1.5,+2

vilevile unaweza kumkataa england hashindi kwa magoli zaid ya mawili, inakuwa -1.5 or -2 H2
 
Nahisi nimegundua kitu..!!!!!!

Hizi timu ndogo ndogo huwa zinanunuliwa ili watu tuliwe. Nina mifano miwili last week nilibet timu kadhaa kati yake Ilikuwa mechi moja ya saa nane usiku timu za Argentina. Mechi zote zilienda kama ilivyotarajiwa. Yaani matokeo yalikuwa yanatabirika na yakaenda sawa. Ajabu sasa Argentina: timu niliyoipa imemuacha mpinzani zaidi ya nafasi 10 kwenye table, last 5 imeshinda mechi 3 na draw 2, mpinzani kadraw 2 lost 3. Na niliyempa yuko home. Nimelala nikijua kesho naenda kuchukua mpunga nimeamka nimekuta timu yangu ikiwa nyumbani imepigwa 3-0 !! Jamani huo ni mpira kweli au tunaibiwa? Leo Plymouth ambayo iko nafasi ya 8 daraja la 2 wameifunga swindon ambayo iko nafas ya 2 daraja la kwanza..!! Hii kazi kama kuchimba madini haina formula

hawa walikuwa ni

new old boys 0-3 Banfield

pole mkuu
 
handicap H1ni wa home ashinde kwa handicap
handicap H2 ni wa ugenini ashinde kwa handicap

meridian wa home wanampa -ve wa ugenini wanampa+ve

mfano

england vs san marino

handicap wa home
-1,-1.5,-2

handicap za ugenini
+1, +1.5,+2

vilevile unaweza kumkataa england hashindi kwa magoli zaid ya mawili, inakuwa -1.5 or -2 H2

So nkitaka nseme england 2 san marino 1 inakuwa naweka ipi hapo
 
So nkitaka nseme england 2 san marino 1 inakuwa naweka ipi hapo

cap ya 2-1, ni sawa na 1-0, 3-2
yani elewa ni one goal difference cap
kwahiyo england ashinde na tofauti ya goli moja ni -1H1 na kumkataa hashindi na tofauti ya goal moja ni -1H2

na kumpa san marino ashinde na tofauti ya magoli mawili au zaidi ni +2H2 na kumkataa San Marino hashindi kwa tofauti ya magoli mawili ni +2H1
 
Dahhh hii option ya
1x&0-3 na 1x&2+ iko poa sana wadau odds zake nzuri ni rahisi kula mpunda

kuna mdau aliipendekeza

nimepanga team 20

Nasubiri matokeo ya mechi 4 za leo na kesho

nikipata naondoka na m. 2.5 Kwa 500
no excuse tehh

Hiyo 1x&0-3 na 1x&2+
maana yake ni nini??
 
Back
Top Bottom