mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
zero bet una assume matokeao ni 0-0 hata kama mmoja ameshinda 2-0 au 2-1 au vyovyote vile,wazee wenzangu option ya zero bet 1 half unaangalia nn ili upuige pesa,msaada tafadhali
Fuata nyuki
Nasubiria 90 ziishe
Nlimpa Argentina win 2.1
Hapo ilikuwa halftime
Now anaongoza 2-1 after Messi's penalty
ACHA AJIHAKIKISHIE KWANZA..... kuna .. wakimpa mtu zaidi ya 65% ni uhakika..... ila ndio vile hata accasa mmeona nae kavurugwa jana..... hii kitu bana na RISK AT UR OWN DECISIVENESS..... .... jaribu kupitia hizo sites .....peruzi predictions zao last week or month....jiriISHE....afu njoo utupe feedback....ADUI YETU MMOJA.....
Naombeni kujua jinsi ya kutumia bonus au kubetia na bonus wakuu
Wazee wezsngu wa kubet.... jana nimempiga meridian kidogo... sasa nikawithdraw kwa m-pesa leo... sasa hela bado sijaiona... nimekosea wapi coz ndo mara yangu ya kwanza kula
Unatumia km akant ya kawaida una weka hela gusa hyo sehem ya bonus hvyo hela itayo tumika ni kwenye akant ya bonus
Unapewa
Yaani you must do something au unapewa tu manake tangu nimejiunga nao sijawahi kukutana na bonus. Au kuna some requirements?
Yaani you must do something au unapewa tu manake tangu nimejiunga nao sijawahi kukutana na bonus. Au kuna some requirements?