Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wenzangu option ya zero bet 1 half unaangalia nn ili upuige pesa,msaada tafadhali
zero bet una assume matokeao ni 0-0 hata kama mmoja ameshinda 2-0 au 2-1 au vyovyote vile,

atakayepata goli baada ya zero bet yako anakuwa ni winner , au apate magoli mengi zaid ya mwingine wakati umeweka hiyo zero bet.

game ikiisha hivyo hivyo inakuwa zero bet drwa, au wote wakipata idadi sawa ya magoli, inakuwa ni zero bet drwa.
 
Argentina wamenipa £45 bet in play, Acha na mie Leo nilale na helA
 
Fuata nyuki
 
Attachments

  • 1415851710000.jpg
    1415851710000.jpg
    52.9 KB · Views: 117
ACHA AJIHAKIKISHIE KWANZA..... kuna .. wakimpa mtu zaidi ya 65% ni uhakika..... ila ndio vile hata accasa mmeona nae kavurugwa jana..... hii kitu bana na RISK AT UR OWN DECISIVENESS..... .... jaribu kupitia hizo sites .....peruzi predictions zao last week or month....jiriISHE....afu njoo utupe feedback....ADUI YETU MMOJA.....

Kwann mkuu
 
landbrokes , nisaidie wazee, nataka kubett online , lakini wakati wa usajili , kuna vitu vinanikoroga kujaza , pale chini kabisa kwenye Adress , na pia inang'ang'ani niweke State na wananipa option za Australia ..

Msaada kwa aliyepo Landbrokes
 
Ebwanaeee kama uchawi vile
Agentina ikaisha 2-1😀😀😀😀😀:
Kutabiri exactly score SI MCHEZO ACHA NIENDE HAPO MERIDIAN
 
Wazee wezsngu wa kubet.... jana nimempiga meridian kidogo... sasa nikawithdraw kwa m-pesa leo... sasa hela bado sijaiona... nimekosea wapi coz ndo mara yangu ya kwanza kula
 
Naombeni kujua jinsi ya kutumia bonus au kubetia na bonus wakuu
 
Wazee wezsngu wa kubet.... jana nimempiga meridian kidogo... sasa nikawithdraw kwa m-pesa leo... sasa hela bado sijaiona... nimekosea wapi coz ndo mara yangu ya kwanza kula

Subiri 24hours watakuwekeaaa. Na bora uwe unaenda tolea dirishani...
 
Yaani you must do something au unapewa tu manake tangu nimejiunga nao sijawahi kukutana na bonus. Au kuna some requirements?

Subiri mwisho wa mwezi mkuu, hasa hasa tar 3 kuamkia 4.
 
Yaani you must do something au unapewa tu manake tangu nimejiunga nao sijawahi kukutana na bonus. Au kuna some requirements?

Wazee nisaidie nami niweze kiingia Online .. nafanayaje ..

Nimejaribu Landbrokes lakini kwnye adresa pale pamenitoa knockout ..
 
Back
Top Bottom