Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Sijakata tamaa mkuu ila hata kama ungekuwa wewe ungesikitika ila usijali kidume ninaamka tena na kupeleka pesa India.Hamna dhambi kuu duniani kama kukata tamaa.
That's how brave men should stand.Sijakata tamaa mkuu ila hata kama ungekuwa wewe ungesikitika ila usijali kidume ninaamka tena na kupeleka pesa India.
Hongera sana mkuu kwa kufuata ushaur.Poa kaka ngoja niufuate
HONGERENI SANAWakuu, don't mess up with this golden odds.
Odd 2.43
Instanbulspor win dhidi ya Karakabur
Bahati haiji mara 2
Leo wachina basket wamenimaliza mtaji wangu,kuna dili nimelikimbilia jioni limebuma basi hapa nina alosto navoona matips kibao.
mkuu kuhus virtual ni hivi,ile program yao imekua programmed kua matokeo yanatoka kulingana na mlivobet ili kuleta maximum profit kwa kila game..kama timu A vs B alafu mpunga watu wengi mmebet timu A na hata waliobet timu B wakilipwa haitoathiri faida basi timu B itashinda,kama nako wataona watalipa pesa nyingi basi matokeo droo..kwahiyo kila mchezo utakaochezwa pale matokeo yake yapo kuleta faida ndio maana ukicheza stake kubwa huponi.PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.
Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.
Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.
Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.
Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.
Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.
Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.
Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.
At the end, inashinda na unakula hela.
Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.
Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.
Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa
Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.
Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room
Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
Utaliwa kila siku.nina wazo wakuu tutafute kuanzia odds 200 na kuendelea ili siku tukipiga tunapiga mpunga wa kutosha huku kutafuta odd 2 nikupoteza muda
Umenichekesha kichiz.. odd 2 tu zimetushinda hizo 200 tutazitoa wapi.[/QUOTE]nina wazo wakuu tutafute kuanzia odds 200 na kuendelea ili siku tukipiga tunapiga mpunga wa kutosha huku kutafuta odd 2 nikupoteza muda
wenzio tunatafta odd ndogo lakini za uhakika. angalau kwa wiki una uwezo wa kumkalisha mara tano huku yeye kakukalisha mara 2 tu.nina wazo wakuu tutafute kuanzia odds 200 na kuendelea ili siku tukipiga tunapiga mpunga wa kutosha huku kutafuta odd 2 nikupoteza muda
halafu kama mbili zinakushinda 200 utaziweza kweli?nina wazo wakuu tutafute kuanzia odds 200 na kuendelea ili siku tukipiga tunapiga mpunga wa kutosha huku kutafuta odd 2 nikupoteza muda
imenipatia hela hiyo mkuu, barikiwa sanaHongera sana mkuu kwa kufuata ushaur.
Bet won
Odd 2.4
Instanburspor kashinda 1:0
Ushapata Hela ya Balimi mapema