mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 770
- 451
Hali sio mbaya sana mkuumpwa vipi huko bana ule mkeka wa kona leycester alizingua lkn bigup naona wengine zimekubali. kesho usisahau kutupia tena
kokoro lkin zinakuwaga za akili halafu kama ujuavyo nakuaga na mikeka ya aina 3. mikeka ya stake ya nguvu na mikeka ya jero jero na buku. na kila siku nampiga. leo nimempiga mmoja wa odd 3+ na mwingine odd 12+.Mzee wa kokoro.
Leo kimya sana mkuu
Kiukweli sio leo tu.Ahsante sana wakuu leo weekend imekuwa mapenzi mubashara kwetu kuliko khanji
Achana naye DeepPond hao ndio wachawi wenyewe wanaotumwa na Kanjibai kuku let down .. we ar proud of you.Sijui hat nifafanue nn
mana sjaelewa lengo lako hasa ni nn hasa ktk komenti yako
Iliyokaa namna hii
Sio hivyo kaka....jana niliweka mikeka miwili yote ikachanika ...nadhani nina bahati mbaya pia na tips za humu....kuna wale al dhafra sijui walichana pia
Hapa napo parefu...itanibidi nipangoje hadi kesho.
Hongera sn mkuu
Hama kwanza utoke huko kwny makampuni ya ajabu ajabu.Naomba kusaidiwa kuweka mkeka mmoja kwenye mchanganyo wa first half results na second half kwa time tofauti mfano unaipa Man u ishinde first half alafu unaipa Liverpool ishinde second half kupitia Mbet, kama unaweza kuchangaya nisaidiwe jaman
tatizo montipeller hapo zinatakiwa goli 3. kipind cha pilikama nilivyosema muhindi kwa mikeka yangu ya buku na ya jero ntampata tuu atarudisha pesa yangu yote nayomdai,ipo siku tuu hivi karibuni
View attachment 652697
Anayatafuta mamilioni kwa kutumia jero!tatizo montipeller hapo zinatakiwa goli 3. kipind cha pili
hivi mtu unashindwaje kuanza na buku 10000 uukuze mtaji mdogo mdogo. kuliko kupoteza kila siku jero jero zakoAnayatafuta mamilioni kwa kutumia jero!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good adviceweek end hii Kanji naona kabamizwa vibaya mno.....Ila kesho msiweke stake yote ya ulichoshinda leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaa m ninge zunguka mtaa mzma na pensi......inter. Ni wasee
Mashoga ni kama mnavowaona hapo..mashoga haswa!!

Mkuu watu wa humu sijui wakoje.

Sometimes unaweza kusema wanapenda tu kuliwa maksudi

Mikeka na tips kibao zinatrend humu ndani

afu mtua anadai analiwa kila siku ma kila siku yuko humu jukwaani.[quote uid=98163 name="Mr Q" post=24882654]haahahahah yan leo mnanichekesha sana wadau
Kokoro Mashallah...hili nilizondonyoa chache hapa zimekubali, nilichokua kwa wengine zimeharibu