Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Plus conners tatizo huku si kila game anaweka conners. Ntaacha pesa kidogo huko kama elfu 50 tu ya kuingia mara mojamoja, sa natafuta kwa kuhamia
Mkuu kwa ushauri tu kabla hujaamia pmbet kwanza ingia mchezabet uangalie option zao mbona utawapenda tu.
Wana option hadi ya kama mechi itapatikana penalti ama lah!
 
Sina akaunt kwengine zaidi ya pm, mkeka na premier na mara zote niko premier nilita kujiunga 1X sasa hawanipi code za ku register phne number yangu
Mkuu hao 1xbet wamenisumbua sana kwenye register lakini ukitaka iwe rahisi tumia njia ya mitandao ya kijamii mfano facebook.
Mimi nimetumia facebook chini ya dakika moja unakuwa na akaunti tayari.
 
Mkuu watu hawajakurupuka wanajua wanachofanya
 
Ha ha ha umenifanya nicheke sana

Mkuu nipe maoni yako NBA

Philadelphia Q1 win

Houston Q1 over 60.5 points (au GSW Q1 win)

Nipe maoni yako?
 
Sina akaunt kwengine zaidi ya pm, mkeka na premier na mara zote niko premier nilita kujiunga 1X sasa hawanipi code za ku register phne number yangu

koncho77 unauona huu mkeka hapo?Ulikua na odds 10 nikavaa mabomu nikajilipua kwa laki 1 ili nimpige 1m. Kilichotokea New Saint akawa hapati goli na nilimpa Over1.5. Nikataka kwenda inplay ili nimpe New Saint Under 1.5 singlebet kisha niweke mzigo mkubwa ili kwa matokeo yoyote nimpige Kanji, Inplay hawa jamaa hii game hawakuiweka. Nikawaza bhas wangekua hata na cashout nichukue pesa kiasi hapo, nayo hawana. Dah roho imeniuma sana kuikosa iyo pesa kwa uzembe wao
 
Nimekuelewa sana mkuu hawa jamaa kwenye upande wa inplay hawapo vizuri bora uje 1xbet
 
Mkuu hao 1xbet wamenisumbua sana kwenye register lakini ukitaka iwe rahisi tumia njia ya mitandao ya kijamii mfano facebook.
Mimi nimetumia facebook chini ya dakika moja unakuwa na akaunti tayari.
Mkuu kingine kwa hao jamaa hakufai ki project inabid mtu uwe unatoa ukishinda si unajua bongo hawana makao, 1X ni wazuri sana aisee ila ukiacha ela ina hang sana uko siku wakiamua kuimiliki kimoja itakua soo.
 
Mmmh ila kweli mkuu ngoja nifanye withdraw muda huu nione itakuwaje
 
Vp humu kwema? Toka asubuhi JF imenigomea ndo inakubali sasa hvi..

Liwalo na liwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…