Unatumia njia gani mkuu ku deposit. Nataka ni deposit leo mm natumiaga hao beyonic sijui ndio M lipaMimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipia
kama unabuku tutest mitambo hapa odd 42+
View attachment 691793
wakuu mbn 1xbet game kwangu naona chache tu?scot.holland.swts n.k sizion
Aiseee leo kweli n sku mbaya
cjawah kulos Kia hiki yan *******
Wote wa 3 wamescore Kwa bichwa
***** zao
duuh pole sana
Hahahaha mkuu sikucheki kwa mabaya maan umenikumbusha kuna day moja niliweka team 4 halaf stake mlima kilimanjaro pote pakawa na jezi nyekundu huo mkeka sitakuja kusahau daaa umenikumbusha mbali kinouma
Dhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watoto
Basketball naona hua wanawekana
Sana vikapu
Mkuu dah! Hata basket nasikia baridi kujaribu vipigo sio vya nchi hii.
Hapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.
Utaambiwa Screenshot M-pesa Statement ili waone kaka Tarehe hiyo Hela haikuingia! Yaaan Tafrani.
Hayo Masaa 24 aombe sana. Mimi hadi leo hakufika.Ila baada ya masaa 24 inarudi Kwenye account. Kama una shida nayo ni tatizo sana
Cheza bonus kwanza Tafuta odd kuanzia 1.4 then place at least mechi tatu inplay ili uweze Kutoa pesa yako harakawadau msaada kwa yule amabe ashawai toa pesa kwenye 1XBET, najaribu kufanya muamala Napata hii message
Funds cannot be withdrawn until the conditions of the bonus offer have been met.
Push msg zinazingua toka jana haziji, ila nikajarib elipa faster ikakubaliMimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipia
Mkuu ahsante nmefanikiwa kucheza bonus zmeisha, lakn bado haikubali kutokaCheza bonus kwanza Tafuta odd kuanzia 1.4 then place at least mechi tatu inplay ili uweze Kutoa pesa yako haraka
Refresh alafu Anza upya Kutoa itakubaliMkuu ahsante nmefanikiwa kucheza bonus zmeisha, lakn bado haikubali kutoka
dah nachart nao wananambia eti had ifike 23000Refresh alafu Anza upya Kutoa itakubali
Nenda Kwenye bonnus account ignore bonus mchezo umeishadah nachart nao wananambia eti had ifike 23000
una ignore vip mkuu maana ishanitia pressure tu kna mpunga mrefuNenda Kwenye bonnus account ignore bonus mchezo umeisha
una ignore vip mkuu maana ishanitia pressure tu kna mpunga mrefuNenda Kwenye bonnus account ignore bonus mchezo umeisha
Hapo inapokuonysha bonus amount uliyonayo mwishon kulia inakuambia ignore bonyenza hapo itafutikauna ignore vip mkuu maana ishanitia pressure tu kna mpunga mrefu
Yap usinisahau lunch ndugu kwangu pakavunadhan sahv imekubali, nmeambiwa under review
Hahahahh Usjal mkuu,ngoja nisisubirie sjui inachukua mda gan,Yap usinisahau lunch ndugu kwangu pakavu