Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui nina mkosi gani na 1bet kila nikiweka ela aiongezeki zaidi ya kuisha...nitakula kisha nitairudisha yote...yani ela aiongezeki kabisa sijui kwa nn...kila siku naishia kuweka mtaji....aisee ii kaz ngumu sana

Hata mimi nilikuwa na hilo tatizo baadae Ikawa nikila tu natoa hela fasta naiingiza kwenye matumizi natumia watu.

Km Sina matumizi natoa natuma kwenye simu ya mama watoto (tumekubaliana mtaji wangu wa siku ni kiasi gani) hivyo anajua ni saa ngapi nahitaji mtaji na si vinginevyo.

Kwa descpline hii mrusi siku hizi anaumia sana tu.
 
Mkuu mm inabidi nibadishe kampuni japo 1 ina option nyingi ila naona naloose tu
 
Mkuu mm inabidi nibadishe kampuni japo 1 ina option nyingi ila naona naloose tu
Mimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.
Huku nikarudisha hasara yangu. Sasa nikasema huyu nimemwonea, ngoja nirudi kule kule Sportpesa nikambandue yeye kama yeye, aisee nilichezea kipigo mfululizo hadi nikasema basi basi, nimekusamehe deni langu bwana!
Siku hizi nipo kwa mrusi na princes coz naona huku siliwi ovyo.
 
Not safe

Turin win
Utrech win
Cercle blugue over 1.5
Dundalk win
Shamrock gg
Kasmpasa gg
Partizan dc

Total odd 15+
 
Normal Normal

Turin dc
Utrech over 1.5 or dc
Cercle blugue over 1.5
Dundalk 0ver 1.5 or dc
Shamrock over 1.5
Kasmpasa over 1.5
Partizan dc or over 1.5



Turin win
Utrech win
Cercle blugue over 1.5
Dundalk win
Shamrock gg
Kasmpasa gg
Partizan dc

Total odd 15+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…