Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nenda setting switch main account to bonus account tayari utaanza kuitumia. Masharti yake bonus ina accept chaguo lenye odd kuanzia 1.4
Nimejaribu mara kadhaa kwa odds above 1.4 lakini inagoma.Wanasema the type of bet does not correspond to the requirement of the bonus offer.
 
Hii game ya ujerumani mnaionaje wazee,mbona naona nyeupe sanaaa
 
ni benk ipi mkuu unatumia na ukiwithdraw inachukua mda gan kuingia kwenye acc
Exim pia inategemea uwa ni siku 1-5 za kazi mie huwa siku 2 hazipiti,benki yoyote cha msingi kadi yako ya Master au Visa
 
 
Hiz kampuni za kubet hazifanyi Fair bhana kweny ugawaji wa odd. Asaaa Armenia kumbe hii mechi kwake ni ngumu hlf anapewa 1.08 odd na hakuna chcht had saiv
na wewe odd ya 1.08 inatafuta nini kwenye mkeka wako? hiyo hata ukiplay single na kuweka laki unakula elfu nane ukiweka milioni unakula elfu themanin sasa kuna biashara hapo? epuka odds za aina hiyo hasa ukikuta zipi kwenye timu za real madrid na psg wakiwa away.
 
Dah huyu Armenia hata mm kanilaza bila kuoga leo nilimpa apate goli 2 ila alichokifanya unajua yy na bibi yake.Wenzie game za kimataifa hawau,I yy anauza dah atanifanya hata timu zake kina Pyunik niwaogope kuanzia leo.
 
habari wandugu kwa msaada zaidi kwa wanajukwaa waweze kuelewa je kuna mwana jukwaa kajaribu kuwithdraw kwa njia hii afu akatoka kupitia mpesa master card tupeni mirejesho kwa njia nzuri salama ili wadau waifwate kama hamtojali

 
Maelezo ya M-Pesa mastercard wao wamejikita kwenye kulipia huduma za mtandaoni.ebu jaribu ukiipata pesa leta mrejesho kuna wadau wengine watashawishika kuwakimbia wazee wa Beyonic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…