Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliweka 2 pesa kwenye ac ya Mpesa imetoka haipo nimewapigia Voda wanasema bado ipo hewani
 
Ni bahati tu mimi niliweka magoli 2.5 over na akachana vile vile
 
wakuu hivi ni vipi naweza kuwithdraw pesa kutoka katika account yangu ya Galsport?

Nenda kwenye withdraw ila hakuna option ya kuihamisha kwenda kwa simu yako bali kuna code wanakutumia kwenye email yako uliyosajilia kisha nenda betting shop yoyote iliyo karibu, na hiyo code namba yako pia ukumbuke account namba yako na kiasi ulichotoa,
 
Betting shop yoyote tena... mwanza wanapatikana wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…