Bro nilisha anza kulia maaana ndo kamtaji kenyewe nilikokuwa nimebaki nako yani ile 1 half bila bila nilihisi kufariki bro wee acha tu mwanangu hii kazi ya kubeti ni ngumu sana wazeeMkuu hapa lazima ushukuru mungu mara mia 8 maana hii stake dah ilikuwa ndefu kwel.
Mkuu hii ungejisahau ukampa man, tungekuwa tunagonga chiaz. TehtehtehDaaash thanks god asee View attachment 925324
Bro nilisha anza kulia maaana ndo kamtaji kenyewe nilikokuwa nimebaki nako yani ile 1 half bila bila nilihisi kufariki bro wee acha tu mwanangu hii kazi ya kubeti ni ngumu sana wazee
Mkuu hii ungejisahau ukampa man, tungekuwa tunagonga chiaz. Tehtehteh
Ila man Mungu amekujalia ukapata uwezo wa kuulewa huu mchezo bro fanya pia kusaidia na wengine hasa pale unapokuwa uko loose unaweza ukaandika ata vitu vitatu angalau vya kuzingatia pale mtu anapotaka kubeti na vya kuzingatia ili uijue betting, man kumbuka life ni ngumu kinoma ivyo wote umu tunabet ili yuongeze kipato bro kama unaweza kutupiga tafu si mbaya ata God ni lazima azidi kukunyooshea mzee. Hii mambo ya kukasirika pindi unapoulizwa si nzuri na wala si busara punguza kujenga ukuta kati yako na watz wenzio tunahitajiana mzeeWadau wa direct win ,Leo mmeloga nn? Tehtehteh
Aaaah wee acha mkuu ila itoshe tu mimi kumshukuru Mungu sana sana kwa hiki alichonipatai mzeeMkuu hii ungejisahau ukampa man, tungekuwa tunagonga chiaz. Tehtehteh
Ndugu yangu wee acha kaka ni kushukuru kwa mola lakini ile hali niliyokuwa nayo baada ya 45 za 1hf kuisha ni mimi tu Na Mungu broo nilikuwa naiona dunia kama ni ndogo kiukweli ilikuwa ni balaaaNgumu sana ila next time usistake mtaji wote hata kama una uhakika vip hauwezi ukastake 99k out of 100k ikipigwa maana ake ww ni chali kifo cha mende itabid usubir tena ujikusanye kutafuta mtaji.
sungusungu vipi ulifuata ushauri wangu wa kumpa Man milioni 1. Tehtehteh
Tuko pamoja mkuu, mm huwa sikasiriki kuulizwa swali, Mtu akiuliza hakuna haja ya kukasirika ni kumjibu, mm pia huwa nauliza pale nisipopaelewa. ILA sipendi kurushiwa lawama kama vile nimeacha kutekeleza majukumu yangu.Ila man Mungu amekujalia ukapata uwezo wa kuulewa huu mchezo bro fanya pia kusaidia na wengine hasa pale unapokuwa uko loose unaweza ukaandika ata vitu vitatu angalau vya kuzingatia pale mtu anapotaka kubeti na vya kuzingatia ili uijue betting, man kumbuka life ni ngumu kinoma ivyo wote umu tunabet ili yuongeze kipato bro kama unaweza kutupiga tafu si mbaya ata God ni lazima azidi kukunyooshea mzee. Hii mambo ya kukasirika pindi unapoulizwa si nzuri na wala si busara punguza kujenga ukuta kati yako na watz wenzio tunahitajiana mzee
Tumekula mkuu sportpesa wamepusuka sio kwa shungi lile la MAN U.... kubet kwa mahaba sometimes shangwe tu yahn.Namuua juve kwa buku30 wakuu
Safi mkuu mdogo mdogo. Tamaa tunaweka pembeni.Aaaah wee acha mkuu ila itoshe tu mimi kumshukuru Mungu sana sana kwa hiki alichonipatai mzee
Safi mkuu mdogo mdogo. Tamaa tunaweka pembeni.
Namuua juve kwa buku30 wakuu
alimanusura isitoe lkn kwa fedhuli za CR7 imetoka 2.5 kbsa........... na ingetoka cap safi Ila mpuuzi rashford alibet ndo maana.Game ya juve sidhani kama itatoa 1.5 over
Vikapu tena mkuu?Mkuu naona mambo yashakaa saawaa vikapu leo vipi
Daa nilikua na wasi wasi kwelialimanusura isitoe lkn kwa fedhuli za CR7 imetoka 2.5 kbsa........... na ingetoka cap safi Ila mpuuzi rashford alibet ndo manana.
Mkuu na wewe ulimpa? TehtehtehMPE mkuu, weka milioni.
Man u ss hv mahali salama kabisa ila cap ndo hawatoi............ !!!?Daa nilikua na wasi wasi kweli