Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni msaada wakuu.Nimejiunga BETWAY365 ila tatizo ni wakati wa kudeposit,naambiwa account yangu ime be declined by bank.Nifanyeje ili niweze kudeposit hela.Sina kadi nyingine ya benk zaidi ya hii.MSAADA ANAYEJUA
 
Jamaa wametuona sisi ma zwazwa kweli, odds nzuri wanaweka kwenye 3 way tu! Kwenye option chache zingine zenye afadhali unakutana na odds za 1.09 ha ha ha ha! Kampuni za kibongo wezi sana wanataka wao wale tu kama kamali za korokoro!
 
Naombeni msaada wakuu.Nimejiunga BETWAY365 ila tatizo ni wakati wa kudeposit,naambiwa account yangu ime be declined by bank.Nifanyeje ili niweze kudeposit hela.Sina kadi nyingine ya benk zaidi ya hii.MSAADA ANAYEJUA
Utakuwa huja huisha (Activate) Card yako kufanya malipo mtandaoni, cheki na benki yako!
 
Je, kuna gharama yoyote kupata hiyo card
 
TIME = 17:00pm
EUROPE: Euro U19 –
First stage
Croatia U19 – Czech
Republic U19
Tip : 3+ ( Over 2.5
goals )
Odds : 2.25
Congratulations

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Mkuu tunakusubiria tutembee na mikeka yako
 
nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor
Nenda kapime pressure kwa dr. Halafu uje uatach majibu hapa ndio tukushauri kama una sifa za kubet ama lah!
Kuna siku Newcastle-Man U walikuwa wanacheza na Mimi nilimpa New castle Kipindi cha kwanza tu New castle akawa anaongoza 2-0. Mi nikatoka pale meridian nikaingia bar Fulani ya uchochoroni kula balimi huku nikisubiri Mpira uishe. Kabla kipindi cha pili hakijaisha jamaa wawili wakawa wanaingia mmoja anajisifu hoo! nilikwambia! Man U hii sio ya mchezo! Dah! Sitasahau ile siku! Yaani man u alipindua matokeo kipindi cha pili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka hiyo siku nilimpa Man U win kisha hadi Ht jamaa kakalia... Nikawa najiuliza kweli zinarudi hizi goli...?? Mbona gundu hili..!!! Ohoooo... Ft man u won [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi jana baada ya kuona link humu nikaijaribu lakini nilibaki nacheka tu!!.. Live games zilikuwa mbili tu!! Alafu anaibuka mtu eti kiwanja kakielewa sana.. mimi nashangaa!!
Ndio utashangaa sasa, watu wa hivyo wapo tu mkuu maana wasingekuwepo hata ile midosho ya kariakoo ingekuwa haiuziki! Tuheshimu tu hisia na mawazo yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…