Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

heeh?are you serious? guys mbona mnakua like.... sjui niseme aje, kwani huoni huwaletea zote nazopost na zikishinda pia nawajulisha na naweka screenshot? au nikuonyeshe nini kingine? video? ooooh gosh[emoji17] now i understand why watu hua wanaacha kuwasaidia watz , sababu you guys hamueleweki mnataka nini, ndo mana hata humu kwa group watu huacha kushare wanabakinazo wenyewe tu kwa mambo ka haya
I once told u,usihangaike na hao wehu! Ikiwezekana usiwajibu kabisa!! We share codes tu🥂
 
Me after betting on player not to kiss on the field. 💔

_20240219_115738.JPG
 
and thus why as myself and i nimeamua nikimbie kule kwa twtter nowdays X...unakuta umedrop kwa platform keka la 4days ahead mean train as the tanzanian call it

team zimetembea forty down to thirty eight but mtu ako na shout kwako direct as if kuboom ilikuwa ni lazima mtu ako na forgot kwamba this is betting.
 
haya new option ya leo tujaribu, insha alah ishinde

sportbet

C76935
Hii option ni nzur ila kwa harakaharaka nlichokiona hii ya any sio nzur ni bora kumfuata tu mmoja. Ambaye anaonekana waz hawez kupiga hizo 3 mfululizo. Huu mkeka niliuweka kwa majarbio na match ya kwanza tayar ishachana 😭😭 ila Bado hii option kwang naamin itakuwa ni best option kama tutaitumia kwa odds ndogo mtaji mkubwa
 
MECHI ZA LEO TAREHE 19/02/2024

Jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi baadae utahamia ktk nyota ya Kaa

TANZANIA

(1) Geita Gold vs Ihefu

Leo Geita atashinda

(2) Tabora united vs AZAM

Leo Azam atashinda.
By magical power
[emoji16][emoji16] magic power, sio mchezo aisee
 
Aisee kubeti raha sana asikwambie mtu.

Leo Nilikua na open bets 10 za sh 100 mia saivi nacheki apa nakuta naulizwa maana ya Cashout? Like wtf.!!

ila nilichokuja kugundua option nzuri kwenye huu mchezo wa mpira wa mguu ni DOUBLE CHANCE.

ukiweza kubashiri mechi kwa mtindo wa 1X, 12, au X2 basi nakuhakikishia lazima utamrudisha Kanji Bombay kuendelea na kilimo cha pilipili.
Mkuu hata hiyo option bado ni ngumu sana maana kunakipindi timu unaona inashinda na unaipa 1x au x2 na inaenda kinyumeeee.
HIi option inakupa wigo mpana wa kula ila bado ni moto
 
Mkuu hata hiyo option bado ni ngumu sana maana kunakipindi timu unaona inashinda na unaipa 1x au x2 na inaenda kinyumeeee.
HIi option inakupa wigo mpana wa kula ila bado ni moto
Sijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.
 
Hii option alikuwa anaiwezea Rutashubanyuma sijui siku hizi yupo wapi.
Alikuwa na uwezo wa kuweka mechi 45 kwa option ya double chance zikaharibu mbili au moja.
Siku moja chupu chupu nimpige Khanji
 
Back
Top Bottom