mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
any team to score 3 or more goals in row hii nimeona sporty bet na 1xbet sijajua kwa another companyOption gn hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
any team to score 3 or more goals in row hii nimeona sporty bet na 1xbet sijajua kwa another companyOption gn hiyo
I once told u,usihangaike na hao wehu! Ikiwezekana usiwajibu kabisa!! We share codes tu🥂heeh?are you serious? guys mbona mnakua like.... sjui niseme aje, kwani huoni huwaletea zote nazopost na zikishinda pia nawajulisha na naweka screenshot? au nikuonyeshe nini kingine? video? ooooh gosh[emoji17] now i understand why watu hua wanaacha kuwasaidia watz , sababu you guys hamueleweki mnataka nini, ndo mana hata humu kwa group watu huacha kushare wanabakinazo wenyewe tu kwa mambo ka haya
Draw mbili hizoMECHI ZA LEO TAREHE 19/02/2024
Jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi baadae utahamia ktk nyota ya Kaa
TANZANIA
(1) Geita Gold vs Ihefu
Leo Geita atashinda
(2) Tabora united vs AZAM
Leo Azam atashinda.
By magical power
Asante nmeionaiko mwanzoni tu hapo kaka chini ya option ya 'asian handcap
Unatumia which companyWakuu kuna soko naliona telegram lakini kwenye kampuni nazotumia halipo.
DRAW EITHER HALF
Ni kampuni gani nitapata soko hili?
1xbet.Wakuu kuna soko naliona telegram lakini kwenye kampuni nazotumia halipo.
DRAW EITHER HALF
Ni kampuni gani nitapata soko hili?
Mambo magumu sanaMECHI ZA LEO TAREHE 19/02/2024
Jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi baadae utahamia ktk nyota ya Kaa
TANZANIA
(1) Geita Gold vs Ihefu
Leo Geita atashinda
(2) Tabora united vs AZAM
Leo Azam atashinda.
By magical power
Hii option ni nzur ila kwa harakaharaka nlichokiona hii ya any sio nzur ni bora kumfuata tu mmoja. Ambaye anaonekana waz hawez kupiga hizo 3 mfululizo. Huu mkeka niliuweka kwa majarbio na match ya kwanza tayar ishachana 😭😭 ila Bado hii option kwang naamin itakuwa ni best option kama tutaitumia kwa odds ndogo mtaji mkubwahaya new option ya leo tujaribu, insha alah ishinde
sportbet
C76935
MECHI ZA LEO TAREHE 19/02/2024
Jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi baadae utahamia ktk nyota ya Kaa
TANZANIA
(1) Geita Gold vs Ihefu
Leo Geita atashinda
(2) Tabora united vs AZAM
Leo Azam atashinda.
By magical power
[emoji16][emoji16] magic power, sio mchezo aiseeMECHI ZA LEO TAREHE 19/02/2024
Jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi baadae utahamia ktk nyota ya Kaa
TANZANIA
(1) Geita Gold vs Ihefu
Leo Geita atashinda
(2) Tabora united vs AZAM
Leo Azam atashinda.
By magical power
Mkuu hata hiyo option bado ni ngumu sana maana kunakipindi timu unaona inashinda na unaipa 1x au x2 na inaenda kinyumeeee.Aisee kubeti raha sana asikwambie mtu.
Leo Nilikua na open bets 10 za sh 100 mia saivi nacheki apa nakuta naulizwa maana ya Cashout? Like wtf.!!
ila nilichokuja kugundua option nzuri kwenye huu mchezo wa mpira wa mguu ni DOUBLE CHANCE.
ukiweza kubashiri mechi kwa mtindo wa 1X, 12, au X2 basi nakuhakikishia lazima utamrudisha Kanji Bombay kuendelea na kilimo cha pilipili.
Sijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.Mkuu hata hiyo option bado ni ngumu sana maana kunakipindi timu unaona inashinda na unaipa 1x au x2 na inaenda kinyumeeee.
HIi option inakupa wigo mpana wa kula ila bado ni moto
Hii option alikuwa anaiwezea Rutashubanyuma sijui siku hizi yupo wapi.Sijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.