Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

Alooo
LINDI
MTWARA
TANGA
TABORA
KUGOMA POTE HUKO ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Tanga, Tabora na Kigoma ni kwa baadhi ya maeneo machache tu hasa yenye wafuasi wengi wa mtume Mudy.
 
Ulitaka quran iseme nini zaidi ya kujipendelea yenyewe?
Nje ya quran na hadeeth ni wapi allah anasema dini pekee ni uislam?
Source nyingine kuthibitisha hilo?
 
Kuna kama kaukweli flan hapa!
 
Hahaha wachaga kuna mpaka waislam, tena wana misimamo mikali kuliko kawaida ๐Ÿ˜†
Kilimanjaro na Arusha iwe Ukatoliki, Uislamu, Ulutherani au Ulokole watu wake wanaenda kwenye extreme(msimamo mkali) zaidi, ni vigumu sana kwao kubalance au kuwa moderate.
 
Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Kitu ambacho wakoloni walifaniwa sana Afrika ni kutufanya sisi tujichukie wenyewe. Nakubali ni ni kweli kuna baadhi ta imani au mila na desturi zetu zilikuwa mbaya sana (kwa mfano kuna sehemu walikuwa wanatoa kafara binadamu wengine) lakini bado zipo mila zilizokuwa nzuri na zinatuunganisha na kutambulisha utu wetu. Mkuu Zanzibar-ASP mila na desturi hazimaanishi watu hawafuati dini. Je, unajua hata uislam ni kama kufuata mila na desturi za waarabu? Ukristo hivyo hivyo...
 
Mbeya wameigeuza fursa wengne wote hao ni makondoo
 
Msikilze huyu Shekh Kesede kutoka katika Biblia
View: https://www.youtube.com/watch?v=-UHal1I-Sa0
Uko serious kweli?
Yaani mwenyewe umekaa ukaenda chimbo ukamleta huyo mpiga porojo ka sourc kuthibitisha hoja yako?
Nje ya quran na hadeeth na ngano zingine za aina hiyo naomba ulete ushahidi wa kihistoria,alkiolojia na shahidi zingine kuthibitisha uislam ulikuweko tangia enzi na enzi!
 
Sisi Arusha 70% ni wapagani halafu useme tumeharibiwa na dini?
Na hao 30%, 95% yake ni Walutheri na Wakatoliki. Hapo dini itaharibuje?
 
Dini kwa mujibu wa Uislamu ni mfumo wa maisha unaomuelekeza mwanadamu kumtambua kumuabudu na kumtii Mwenyezi Mungu katika kila kipengele cha maisha kwa kufuata mwongozo alioleta kupitia Mitume Wake.
Ndio bangi zenyewe hizo, unakuwa mtumwa wa kitu, no right to question.
 

Na kwa ushahidi wa Kiakiolojia ni Maandishi ya Kiarabu ya kale (pre-Islamic inscriptions) kama yale ya (Qaryat al-Faw) na (Najran) yanaonyesha baadhi ya watu waliamini Mungu mmoja.

(Inskripsheni ya Umm al-Jimal) (Jordan) ya karne ya 5โ€“6 BK inaonesha matumizi ya neno (Allah) kabla ya Muhammadi.

Na Maandiko ya Nabataean (karibu Petra) pia yanaonyesha imani za karibu na tauhidi kabla ya Muhammadi kuja rasmi.

Ushahidi wa simulizi huru Wanahistoria wa Kirumi na Wagiriki kama (Pliny the Elder na Diodorus Siculus) walirekodi kuwapo kwa watu wa jangwani waliokuwa na maisha ya kiroho yenye kanuni kali.

(Monotheistic sects) kama "Ebionites, Essenes" na baadhi ya "Nazarenes" waliamini nabii atakayekuja na walikataa Utatu ni sawa na mtazamo wa Kiislamu.

Kwa Maneno ya wanahistoria wa kimagharibi

Baadhi ya watafiti, kama "Montgomery Watt" "Karen Armstrong"na "John Esposito" wameandika kwamba Uislamu haukuanzishwa upya bali uliendeleza ujumbe wa dini ya Ibrahim.


Uislamu ni mfumo wa kumwamini Mungu mmoja kuishi kwa maadili na kumuabudu Muumba Uislamu una historia ndefu inayorudi nyuma kabla ya Mtume Muhammad (SAW) Uislamu wa sasa ni kilele cha muendelezo wa dini ya mitume.
 
Na ukiwa mlevi wa dini lazima uwe maskini.
 
Kilimanjaro na Arusha iwe Ukatoliki, Uislamu, Ulutherani au Ulokole watu wake wanaenda kwenye extreme(msimamo mkali) zaidi, ni vigumu sana kwao kubalance au kuwa moderate.
Kwenye u catholic is different, catholic si religious extrimist , na wana himiza sana watu wasome wafanye kazi zingine

Is why back in the days waliaminika sana na vyombo vya usalama
Na vijana wengi wa seminary walienda huko

Wangekuwa too much extrimist wana follow dini hawachapi kazi wana elimu , hiyo mikoa ingekwua kama kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ