Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Kwahiyo Jamhuri itazirudisha kwa nani?

1.Kwa Chama.

2. Kwa wakina Mbowe, Mashinji, Mnyika, Mdee n.k

3. Au kwa waliochangia.

Mimi navyoona namba 2 ndio jibu, maan hao ndio walipigwa faini hiyo.
Kwa wadhamini
 
Ngoja vikao halali vya vyama vikae vipange matumizi sahihi
 
Ngoja tuone hii kitu itafikia wapi?

Ova
 
Kwahiyo Jamhuri itazirudisha kwa nani?

1.Kwa Chama.

2. Kwa wakina Mbowe, Mashinji, Mnyika, Mdee n.k

3. Au kwa waliochangia.

Mimi navyoona namba 2 ndio jibu, maan hao ndio walipigwa faini hiyo.

Zirudushwe kwa chama, ikiwa haiwezekani basi warudishiwe waliochangia, ili za hao covid 19 wazitumie watakavyo.
 
Kwani wewe ni Chadema????
 
Walie bata tu.
 
Yes kama zililipwa kutoka acvount ya chama basi zitarusishwa kwenyw acviunt ya chama, na ni maki ya chama maana tukichanga kwa dhumuni la kukisaidia chama chetu pendwa
Wanaolipwa watachagua walipwe kupitia account gani. Za Mashinji hatuzitaki
 
Umeonaee, halafu tulizichanga kwa hazira zile hela, wengine tuliowachangia wakaja kusaliti chama, Mungu atawaadhibu

Nakumbuka sana mkuu nilikuwa safari cm yangu haikuwa na hela ila nilifika saa 4 usiku sikulala mpk nilipopata kibanda nikaweka na kutuma ndio roho yangu ikatulia tuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…