Nataka kujua nafasi yako katika maamuzi ya hizi pesa kwanza, pia kujua nini vipau mbele vyenu kama chama kwa sasa?Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Zijenge makao makuu ya Chama.Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.

Hizo fedha haziendi chamani zinakwenda kwa individual wakili Kibatala anasema hata Mashinji atanufaikaNi kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Mimi ni kati ya waliochanga.Kwani wewe ni Chadema????
Basi tulia kwanza hela wazipate halafu ushauri baadaye.Mimi ni kati ya waliochanga.
Kukusaidia tu katika maisha hasa yanayohusu pesa usisubiri upate pesa ndipo uanze kuwaza utazipangia kazi gani zitaisha kabla ya wazo lako kuanza kulitekeza.Basi tulia kwanza hela wazipate halafu ushauri baadaye.
Sabodo hakuwajengea?Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Kote ulikotaja ni muhimuNi kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Hata hayo matumizi aliyoulizia mleta mada ni kwa ajili ya CDM piaZililipwa na cdm hivyo ni Mali yao!! Warufishiweeeee!!!!!
Labda uliwachangia wenzako wa chatonauliza wakuu wangu