Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Tupambane wazee hakuna atakaye kuletea ugali mbuzi mezani zaidi ya wewe!
Kwa hiyo wewe akili yako yote ime ishia kwenye "ugali mezani"!
Hakuna jingine lolote unalo lifikiria nje ya hilo unapo itazama Tanzania kama nchi kati ya mataifa mengine duniani!

Huo "ugali na mbuzi mezani", hakika Samia anauweza sana huku akihakikisha watu kama wewe "utwana" ndiyo hadhi na sifa kuu mnayo ipigania maishani mwenu.
 
Daah,
Chawa Lucas Mwashambwa na msaidizi wake Tlaatlaah wachukue notes hapa
sasa gentleman,
unanitag kabisa nishuhudie chuki binafsi, makasiriko , mihemko na ghadhabu za waliopoteza uelekeo na waliokata tamaa kama huyo mlalamishi asie na mawazo mapya na wala asie fikra mbadala, kweli?

unaelewa muerevu huibua changamoto na kupendekeza majawabu ya changamoto hizo ili kushawishi wengine wamuunge mkono,
sasa mungwana ana lalamika tu na hapo ukimchalenge kidogo tu, apendekeze mbadala,
kwanza ataona aibu kwasababu hakuna mbadala na atakaopendekeza ni aibu tupu,

lakini pili ukimchimba chimba kidogo, atapandisha mihemko na makasiriko na halafu aanze kuporomosha matusi mazito mazito na hilo ndilo litakua hitimisho la hoja yake 🤣
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Nakuunga mkono, huyo bibi Hana uwezo kabisa, na anajijua, kwa ustawi wa taifa kaa pembeni bibi, kuliko kiendelea kuharibu hili taifa.
 
Alifikishwa hapo na JK.
 
Nilipopata nafasi ya kupitia Mandate for Leadership alopewa Donald Trump kuifuata ndo nilipothibitisha kwamba kweli hawa Deep State wapo.

Yaani statecrafters wameandaa sera za Marekani kwanza ambazo ni lazima Trump azifuate akishinda uraisi.

Sasa sie tuna Dira ya Maendeleo ya 2050 lakini bado raisi aweza kuja na vitu kama 4Rs ambazo hazimo katika dira hiyo.

Hiyo ni kasoro mojawapo ambayo watu hufanya.
 
Sasa kama umewagomea wakubwa wa usalama na wenyewe wamo humu, hudhani watakuchomea kwa mama kusema ana uwezo mdogo sana na akili zake ni ndogo sana?😀
 
Yeye na Kamala ni mapacha
Nchi yetu ina matobo matobo mengi, katiba mbovu, system zote weak hivyo tunahitaji kiongozi ambaye tayari ana uwezo mkubwa wa kiakili kichwani na ambaye ni visionary yeye kama yeye kabla ya “taasisi ya urais”

Kamala ataongoza vizuri sababu mifumo ya nchi yake itamruhusu aongoze vizuri isipokuwa kwa madhaifu machache.

Japo Mi sijasema chochote juu ya uwezo wa Rais wangu Samia 😀
 
Hutu kazidi,we huoni
 
Si sema hiki hiki hakiko Sawa,zaidi ni kufuata mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…