Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Ndio wewe unitajie sasa! Au unalalamika bilq kujua nini kinakulalamishaKwa hiyo wewe unafuata "mkumbo", hujui maishani mwako mambo ya muhimu kwako ni yapi mradi umeweka "ugali mezani" umemaliza kila kitu!
Maandiko yanesema Tiini mamlaka iliyo juu yenu. But...Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Uongozi/ Vitu vya urithi haviumi unavituma unavyojiskia. Subiri sahvi tumuone kweny kampeni atakavyo pambana juani tumpe kura. .Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Unataka nikutajie mara ngapi, au hata kusoma na kuelewa huwezi?Ndio wewe unitajie sasa! Au unalalamika bilq kujua nini kinakulalamisha
Bongo tumekosa tu elimu na maarifa.Maisha ni Fumbo
Viongozi wazuri hawadumu , na viongozi wa ovyo ,wala bata na kutumia pesa ya watanzania wanyonge ndio wanaishii miaka mingi..
Pamoja na yote hayo, inawezekana saa100 ata ongoza nchi miaka 15
Again, Maisha ni fumbo.
Itakuwa interesting kama akigombea 2025 kampeni yake anatesema nini cha maana alichofanya. Hana rekodi yoyote ya maana ya kujivunia. Sijui kama ataweza kudebate na mtu yoyote akiongelea sera, maono, mipango yake.Uongozi/ Vitu vya urithi haviumi unavituma unavyojiskia. Subiri sahvi tumuone kweny kampeni atakavyo pambana juani tumpe kura. .
Tatizo bongo hamna FREEDOM OF SPEECH iyo kauli ulioiandika humu JF ungeisema hadharani basi tungekukuta porini katavi.
MEDIA nazo wamekuwa machawa taarifa wanazitia kui favor serikl ili mambo yao yaende
Ukiona unajiliza hivi ni dhahiri maslahi yako binafsi yameguswa. Sisemi kuwa Samia ni rais mzuri, ila kwa tabia zako za kusifia watawala, ni wazi ulichotarajia kwako binafsi umekikosaMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Ku-freeze pesa za Wafanyabiashara - Nani - PAAP?, Rugemalira na Independent Power? - Mbona husemi Escrow iliishiwa wapi? - Law of cause and effect- jibu kwanza zile pesa za Escrow zilikuwa za nani; za Umma au za akina Ruge?Ku freeze pesa za wafanyabiasha, ni economic theory?? Kubambika Kodi mpaka wafanyabiashara kukumbia nchi no mtindo upinwa Uchumi???
Uliyoongea yote ni porojo tu zenye lengo la kusifu na kuabudu.gentleman,
unless mtu hafahamu kuhusu haki za binadamu. Na by the way haki ina ambatana na wajibu.
haki za binadamu sio makelele au kulalamikia kudhulumiwa tu. Na by the way umedhulumiwa nini na wewe umewajibikaje kwenye dhuluma hiyo?
we cheki,
kuna vibaraka vimbelembele mara kadhaa wameenda kubweka bweka hadi kwa mabwenyenye wanaowafadhili huko ng'ambo, ati Tanzania kuna uvunjifu na dhuluma kwa haki za binadamu. Kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe kabisa.
matokeo yake hao vibaraka mabwenyenye wenyewe hususani wa magharibi walipokuja kushuhudia hizo dhuluma, hawakuona kitu. Infact wakabaini kwamba huko kwao ndiko hasa kuna matatizo makubwa, watu wa huko wangelalamika na kuandamana kudhulumiwa haki zao kuliko Tanzania ambapo Tanzania ni kisiwa cha amani hakuna mambo kama hayo.
Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, ameendelea kua lulu ya amani Tanzania na ndie champion wa kulinda na kutetea haki za binadamu Tanzania, Africa Mashariki, Africa na duniani kote, na ndio maana Majeshi yetu yametapakaa maeneo mbalimbali duniani kulinda haki za binadamu na Amani 🐒
Huyo jamaa akilin zake zimeishia tumboni tu sio kutazama mustakabali wa taifa zima. Watanzania hatuoneani huruma tumetanguliza ubinafsi mbele.Kwa hiyo wewe akili yako yote ime ishia kwenye "ugali mezani"!
Hakuna jingine lolote unalo lifikiria nje ya hilo unapo itazama Tanzania kama nchi kati ya mataifa mengine duniani!
Huo "ugali na mbuzi mezani", hakika Samia anauweza sana huku akihakikisha watu kama wewe "utwana" ndiyo hadhi na sifa kuu mnayo ipigania maishani mwenu.
Kukopa sana na kuachilia watu wajichotee fedha za umma kupitia miradi na manunuzi kutokana na kushindwa kusimamia mapato na matumizi ndio mtindo upi wa uchumi?Ku freeze pesa za wafanyabiasha, ni economic theory?? Kubambika Kodi mpaka wafanyabiashara kukumbia nchi no mtindo upinwa uchumi???
Binti Kiziwi,Nchi yetu ina matobo matobo mengi, katiba mbovu, system zote weak hivyo tunahitaji kiongozi ambaye tayari ana uwezo mkubwa wa kiakili kichwani na ambaye ni visionary yeye kama yeye kabla ya “taasisi ya urais”
Kamala ataongoza vizuri sababu mifumo ya nchi yake itamruhusu aongoze vizuri isipokuwa kwa madhaifu machache.
Japo Mi sijasema chochote juu ya uwezo wa Rais wangu Samia 😀
Kule si kuongoza bali kushikilia madaraka kwa miaka 15. Tofautisha kuongoza na kushikilia madaraka.Maisha ni Fumbo
Viongozi wazuri hawadumu , na viongozi wa ovyo ,wala bata na kutumia pesa ya watanzania wanyonge ndio wanaishii miaka mingi..
Pamoja na yote hayo, inawezekana saa100 ata ongoza nchi miaka 15
Again, Maisha ni fumbo.
Uwezo gani zaidi unataka? Ana mwaka wa 3 anatawala, nini kimepungua?Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.
Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.
Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Hahaha,sasa gentleman,
unanitag kabisa nishuhudie chuki binafsi, makasiriko , mihemko na ghadhabu za waliopoteza uelekeo na waliokata tamaa kama huyo mlalamishi asie na mawazo mapya na wala asie fikra mbadala, kweli?
unaelewa muerevu huibua changamoto na kupendekeza majawabu ya changamoto hizo ili kushawishi wengine wamuunge mkono,
sasa mungwana ana lalamika tu na hapo ukimchalenge kidogo tu, apendekeze mbadala,
kwanza ataona aibu kwasababu hakuna mbadala na atakaopendekeza ni aibu tupu,
lakini pili ukimchimba chimba kidogo, atapandisha mihemko na makasiriko na halafu aanze kuporomosha matusi mazito mazito na hilo ndilo litakua hitimisho la hoja yake 🤣
Mtoa mada ni sisiemu damuKuna muda ukiwa upinzani unapoteza akili
Sijui mikoani lakini hapa Dar hivi kwa nini usitaje hoteli iliyofungwa?Mahotelo yote yaliyofungwa yanafanya kazi sasa hivi elewa hivyo