Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Ukisikia baba kuuza ng'ombe ili kusomesha ng'ombe ndiyo huyo ...yani ajaelewa chochote na mzee wake kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe 😁😁😁😁😁😁
 
Hivi ni nani au ni taasisi gani hasa ndiyo iligundua INTERNET kwa mara ya kwanza hapa duniani?
Waanzilishi wake ni wengi. Maana kila genertion mtu huitoa kuok awamu fulani hadi nyingine. Hizi nyingine ni programu tu.internet yenyew imesambaa dunia kwa njia ya wire
 
Hapo katikati ya 2025 na 2030 kuna uhalibifu mkubwa kama huyo samie akiwa kitini
Hujaonekana uharibifu kuanzia 1961-2021 hauwezi kuja kuonekana katika kipindi cha miaka minne au mitatu ijayo.

Punguzeni hizi fikra za unyonge akilini mwenu.
 
Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?

Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa

Umeona kuna Mkwamo wapi?
Hawezi kukujibu. Ameongozwa na chuki tu kwa Samia as a Person. Mheshimiwa amefanya yote yaliyoachwa na mtangulizi wake..kuanzia miradi ya mkakati (SGR, Bwawa la Nyerere, Daraja la Busisi, barabara za Mwendo kasi, n.k, n.k). Pia ameanzisha yake miiingi tu kwenye elimu, afya na kilimo.
Kikubwa kafanya yote bila kuwabana watumishi, wamepandishwa madaraja na mishahara kinyume na mtangulizi wake ambaye hakupandisha madaraja wala kuajiri kwa muda wa miaka 6!.

Aangalie pia rekodi za mapato ya TRA kabla na baada, tena mapato yameongezeka bila watu kufungiwa akaunti zao wala kuporwa fedha zao kupitia Burea-de change.
Chuki za mtoa mada kwa Samia..ni chuki kwa Samia as a Person. Wananchi wanaona walipotoka na walipo. Kauli zake hizi za hovyo na chuki wala haziwezi kumkatisha tamaa Mh Raisi.
 
Halafu wote mmepangana wazee wa Sunday school sasa hapo tutaona kweli uwezo mdogo au inferiority compl based on religion
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Astaghafillulah!!
 
Hifadhi hii comment ysko ...utskuja kunikumbuka
Nimeshahifadhi nyingi na hakuna kinachokuja kutokea. Ukiwa ni mkazi wa haya majiji makubwa mara nyingi ni rahisi kuuvaa ujuaji. Kuwa na hulka ya kujiona unaweza kuwaongelea watanzania milioni 61 ukisahau kuwa ubinadamu unayo mipaka.
 
Mkuu, civil service ilikuwepo awamu ya kwanza na baadae awamu ya pili na baada ya hapo hakuna kitu.

Hatuna Civil Servants wanotambulika wala special advisers.

Mambo ya kuivugura Tanganyika yamefanywa deliberately.
Ooh
 
Nimeshahifadhi nyingi na hakuna kinachokuja kutokea. Ukiwa ni mkazi wa haya majiji makubwa mara nyingi ni rahisi kuuvaa ujuaji. Kuwa na hulka ya kujiona unaweza kuwaongelea watanzania milioni 61 ukisahau kuwa ubinadamu unayo mipaka.
Kwani msemo wa mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe huujui
 
Siku zote ukiwasoma watu humu unaweza kudhani huko mtaani kuna moto mkubwa unawaka. Humu wamejaa manabii wa majanga, watu wenye uwezo wa kuona na kutabiri mabaya tu.
 
Na zile nukuu zake radio one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…