Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Ukisema akili hana nadhani si kauli sahihi kwani yeye ndie first citizen, hivyo heshima ni ya kulazimika nadhani labda useme mawazo yake yametekwa.

Kuna jamaa humu alileta mada inohusu state capture kaongelea namna state inavyoweza kuwa chini ya watu fulani ambao ndo wenye maamuzi.

Kisha mie pia kuna mada humu niliongelea kuhusu madhara ya nchi kuruhusu mfumo wa Kleptokrasia ambao pia ni mfumo unokuwa chini ya watu wachache na viongozi ambao huiba na kujilimbikizia mali za taifa.

Hivyo hata kama hyupoo kiongozi ambae amefumbwa na mifumo kama hiyo si kwamba hana akili ila huwaza namna ya kuchomoka lakini bado ana kuwa limited ni maamuzi yepi yatatimizwa au kuzimwa na mifumo hiyo.

Kwa bahati mbaya yaonekana nchi yetu imekumbwa na mifumo yote miwili yaani "double knock factors".
Na hapo ndipo hoja ya yeye kukosa akili inapata nguvu Angekuwa na uwezo binafsi,angeng'amua kuwa kuna mifumo mingine inafanya mambo nje ya maelekezo yake na angetumia akili zake kurekebisha.
 
Ni wewe kweli Mayor Quimby? Mbona naona mapicha picha kulikoni????
Siku ukibahatika kukutana na ‘bi-tozo’ muulize ana goals gani kama yeye awe ame achieve come 2027 kama yeye.

Goals zozote za jamii au maendeleo

Hakuna kitu hapo (debe tupu).shida sio yeye ni wapuuzi waliomzunguka pia hawana maarifa.

Huo ndio ukweli, mama hana uwezo na sehemu kubwa ya civil servants aina uwezo.

Shida yangu ni mods tu wa JF kunibadilishia kichwa cha habari.

Vinginevyo kwengine duniani utoboi kwa kujiongopea. You have to tell it on how it is.
 
Swali hivi nini walitizama nini hadi akawa mgombea mwenza. Au ndio yale mambo ya usawa wa kijinsia?
Tatizo kubwa ni kifungu cha katiba kinacholazimisha mgombea kuwa na mwenza toka upande tofauti ya muungano, laana aliyotuachia Nyerere. Kwanza hatuhitaji kuwa na makamu wa rais.

Natofautiana na mleta mada kuilaumu civil service, wa kulaumiwa ni vyombo vya ulinzi hasa jeshi.
 
Siku ukibahatika kukutana na ‘bi-tozo’ muulize ana goals gani kama yeye awe ame achieve come 2027 kama yeye.

Goals zozote za jamii au maendeleo

Hakuna kitu hapo (debe tupu).shida sio yeye ni wapuuzi waliomzunguka pia hawana maarifa.

Huo ndio ukweli, mama hana uwezo na sehemu kubwa ya civil servants aina uwezo.

Shida yangu ni mods tu wa JF kunibadilishia kichwa cha habari.

Vinginevyo kwengine duniani utoboi kwa kujiongopea. You have to tell it on how it is.
Mods wengine wana agenda za siri wanazingua sana. Ila kwa ukweli kabisa kwa huyu kizimkazi Watanganyika tumepigwa na kitu kizito,na wakimpitisha tena 2025 -2030 ataiacha Tanganyika hoi kabisa.
 
IMG_0178.jpeg
 
Tatizo kubwa ni kifungu cha katiba kinacholazimisha mgombea kuwa na mwenza toka upande tofauti ya muungano, laana aliyotuachia Nyerere. Kwanza hatuhitaji kuwa na makamu wa rais.

Natofautiana na mleta mada kuilaumu civil service, wa kulaumiwa ni vyombo vya ulinzi hasa jeshi.
Serikali ni chama tawala kilichoshinda chaguzi.

Chama tawala ni mgombea uraisi anaeshunda ndio (mkuu wa serikali yote) temporary kwa kipindi chake na anachagua waongoza serikali yake mawaziri.

Halafu linakuja swala la administration hapo ndipo wanapoingia makatibu wakuu wa wizara na uwezo wao wa strategic planning (execution wa serikali iliyoongia) you have to be adopting.

Halafu kuna swala la national interest kama katibu mkuu (huna mandate) Lakini unatakiwa kuwadhibiti wenye mandate wasivuruge long term objectives za nchi

Story ni ndefu. Iła kazi ya kuongoza nchi siyo mzaha na consistent kwa upande wa civil services

Civil services includes vyombo vyote vya ulinzi.

Sometimes ninaposemaga 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa hawajawahi ata kusoma vitabu vya siasa it’s easy to tell.

Shughuli ya kuendesha nchi sio ya mzaha kabisa.

Kwa nilipofika mimi I can tell huyu mtu hajawi kusoma kitabu cha siasa

Uwezi kutoa tu mawazo kutoka kichwani kwako. Dah kazi ya kuendesha nchi sio ya mzaha kabisa.

Tusione tunaelea huko kwa wenzetu wameenda. Siasa Tanzania bado sana
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kwa nini kipenzi chako jiwe alimteua kuwa mgombea mwenza wake??
 
IMG_7606.jpeg

Hivyo ni basic foundation books vya siądź sio vyote hata kwenye maktaba yangu,

Sasa msije hapa mkajazanq ujinga wakati ni wazi 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa, hawajawahi kusoma principles za siasa.

Uwezi kujuandikiq upuuzi kutoka kichwani kwako siasa ni science.

You have to learn and learning requires reading. Ndio ukweli na asilimia kubwa ya wachangiaji wa hili jukwaa amjasoma vitabu vya siasa.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Bora kutega sikio kwenye shimo la choo kusikiliza inzi wakigombea mafii kuliko kumsikiliza huyo bushiri
 
Back
Top Bottom