Paphilius
Member
- Aug 27, 2023
- 61
- 59
Kweli kabisaTusipokua makini tutaishia motoni. Wote. Baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na mwokozi wetu twapasa kumuiza maswali. Na anayo majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaTusipokua makini tutaishia motoni. Wote. Baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na mwokozi wetu twapasa kumuiza maswali. Na anayo majibu
Yani ni maigizo kweli kweli mkuu.Nilimsikia nabii mkuu na mtume mkuu dr Geordavie kwamba yeye anafanya mambo makuu kuliko Yesu! Sababu yeye anatoa hela na misaada ya fedha na mitaji wakati Yesu hakutoa fedha wala mitaji. Waumini walishangilia na kuweka hela miguuni mwa mtume mkuu!
Nimegundua we unachukulia dini Kama timu ya kushabikia. Unaona man u imeanza kufungwa unahamia man city...ukimaliza kuruka ruka hizi dini utafika conclusion kuwa zote ni man made zimeundwa na binadamu kwa ajili ya binadamu.Napenda sana ibada ,naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo ,miaka ya 1980 ---1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya mungu ,hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco ,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi,wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi, mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho ! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga ,kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000,Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine,wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani ,Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake ,Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena! Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa ! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah! Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Wewe ni Muislamu...
Umeelewa lakini kwamba ameona nini ktk maandishi yako mpaka akakujibu hivyo?NI mkristo mpaka dakika hii
Nini tena...Umeelewa lakini kwamba ameona nini ktk maandishi yako mpaka akakujibu hivyo?
Au upo exited unajijibia tu bila tafakuri ya kina?
Sasa unatupa taarifa au unatupa habarNapenda sana ibada ,naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo ,miaka ya 1980 ---1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya mungu ,hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco ,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi,wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi, mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho ! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga ,kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000,Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine,wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani ,Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake ,Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena! Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa ! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah! Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Nimemuliza mleta mada mkuu swali siyo lako.Nini tena...
Sawa mkuuNimemuliza mleta mada mkuu swali siyo lako.
🤣🤣Kila la kheri kwenye Uislam wako.
As long as heaven is a goal tutakutana huko.
Next time usituandikie bila kuweka kituo tafadhali.
Umemtukana......Kijibwa cha mudi kinaleta papara hapa na kujifanya kipo chachi.
Yale yale ya kuabudu siku wewe muache aende akawe muislam then akaonje joto la jiwe,watu wanakimbilia favours za ajabu mimi nina experience na hili jambo.Nikushukuru kwanza kwa kulitambua Hilo. Ila nikushauru kitu kimoja kabla hujaamua kuhamia kwa waislamu. Chunguza vizuri dhehebu la waadventista wasabato utagundua kitu
Kichwa cha kanisa ni Kristo, kwahiyo kiongozi ni Yesu na siyo Mchungaji.Yesu Hana kanisa ,kanisa linaongozwa na mchungaji Kila muumini ana mchungaji wake ,mchungaji akipotoka kanisa lote linapotoka !
Inasikitisha sana mpaka ma cardinals kutoka Afrika walikuwemo na kukubaliana mpaka wanawake wawe na sauti sijui nini wanajua wao
Ooh kumbe basi mimi huwa naona wote sawa tuVatican na huyu ni maji na mafuta hapa ni vitu viwili tofauti vinazungumzwa
Sawa mkuuMkakati ni ule ule haujawahi badilika,
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko 16:15-16
Kama kweli we ni mkristo Unajua ni wapi kwa kupata majibu!ila kama upoupo tu unataka mambo yaende unavofikilia hutoacha kuhamahama ibada za mwanadamu,hata huko uislam Kuna mambo ukikuta tofauti utahama,mwisho utapotea mazimaSio kweli ila ukristo sio baba yangu Wala mama yangu
Umejibu vema sana mkuu...Ulikua mkristo wa kanisa yani wa kujiandikisha namaanisha. Uliwakuta wazazi ni wakristo tu na wewe ukaingia wala hukupata nafasi ya kumtafuta wewe binafsi niseme haukuwa wa kristo wewe. Huyu kristo ukimjua hakuna namna unayodhani unaweza kuachana nae.
Kanisa la kihuni HiloKama alivyokutana na Saulo basi Bwana na akutane nawe. Nakuombea neema yake ikufunike. Usilale mauti kamwe kabla hujakutana nae.