Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Vipi akili yake katka kutafsiri mkataba?
Narudia ndoa ni ruksa ya mzazi binti kazi yake kutii tu , ndio maana Laban alimshika Leah akamwambia nenda kwa Yakobo hakuna maswali ni kutii tu, hadhi hii kapewa baba hapo zamani lakini
 
Quran:4:4-5

4.Mwanamke ndio apewe mahari
5. Asiye na akili asipewe maana hajakomaa
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Screenshot_20250127-183105~2.jpg
 
Quran:4:4-5

4.Mwanamke ndio apewe mahari
5. Asiye na akili asipewe maana hajakomaa
Sasa asie na akili si chizi huyo, mpaka anaanza kutafuta pedi kuzuia damu wewe unasema hana akili? halafu watoto wa kike zamani makuzi yao ilikuwa ni ndoa tu hakuna kingine, ndio maana nikasema usilinganishe maisha yale ya vitabu na sasa
 
Mzazi ndio mwenye jukumu la kumuozesha mwanae suala la kuoa halina umri muhimu binti awe amebalehe basi, UISLAMU haujaweka umri wa kuoa ila kwa mtu alie balehe ruksa kuhudumia Mume au mke
Ni kusema wewe mume ukirudi kutoka kazi ukamkuta mkeo uliyemuoa na miaka tisa anachezea udongo hapo nje kwenu (nasema hivi kwa sababu umri huo bado mdogo hajapevuka akili) utamuadhibu au utakaa nae mchezee wote udongo?

Unajua vitu vingine tuzungumze hapa kama watu wazima,haijulikani umri sahihi wa kuolewa alimradi amebalehe je kama balehe yake ni abnormal basi abebwe hivyo hivyo?
 
Sasa asie na akili si chizi huyo, mpaka anaanza kutafuta pedi kuzuia damu wewe unasema hana akili? halafu watoto wa kike zamani makuzi yao ilikuwa ni ndoa tu hakuna kingine, ndio maana nikasema usilinganishe maisha yale ya vitabu na sasa
Sisi vitabu tunatumia mpaka leo kama zamani mtoto wa miaka 9 alikua mwanamke sawa well and Good. Lakini sisi tunafuata maagizo ya kitabu katka wakati huu wa sasa tulio nao.

Hana akili kwa muktadha kwamba hawezi kuchambua mktaba wa mali au ndoa sio kuvaa pedi au kuoga elewa kijana
 
Ni kusema wewe mume ukirudi kutoka kazi ukamkuta mkeo uliyemuoa na miaka tisa anachezea udongo hapo nje kwenu (nasema hivi kwa sababu umri huo bado mdogo hajapevuka akili) utamuadhibu au utakaa nae mchezee wote udongo?
Makuzi tu mbona wadada wakubwa tu wanacheza kamba na watoto wao, narudia kanuni ya asili ya mwanadamu ni kuvunja ungo au kubalehe , hiki ndio kilitumika enzi za manabii , hakukuwa na umri wa kuoa watu walikuwa wanacheza na bikra tu
 
Sisi vitabu tunatumia mpaka leo kama zamani mtoto wa miaka 9 alikua mwanamke sawa well and Good. Lakini sisi tunafuata maagizo ya kitabu katka wakati huu wa sasa tulio nao
Hapana vitabu vinakupa ruksa ya kuoa mwanamke sio umri kwa taarifa yako mtume alimuoa mwanamke amemzidi miaka zaidi ya 15 , kwahiyo umri sio muhimu kwenye ndoa ni balehe tu
 
Mumewe atamkomoza, si kavunja ungo maana yake tayari anatengeneza mayai , mume hawezi kumbaka mkewe
Kumkomaza ndio kumbaka. Mi nadhani tuishie hapa, ozesha binti yako wa miaka 9 halafu ukatoe haya maelezo mahakamani vizuri..
 
Kumkomaza ndio kumbaka. Mi nadhani tuishie hapa, ozesha binti yako wa miaka 9 halafu ukatoe haya maelezo mahakamani vizuri..
Mimi siwezi ozesha kwa miaka 9 kwasababu zama zimebadilika sasa hivi, wanawake wanasoma na kutafuta hela kama wanaume ila zamani ilikuwa tofauti , ukizaa binti unamkuza aje aolewe elewa nyakati, ila suala NDOA ataolewa tu
 
Hapana vitabu vinakupa ruksa ya kuoa mwanamke sio umri kwa taarifa yako mtume alimuoa mwanamke amemzidi miaka zaidi ya 15 , kwahiyo umri sio muhimu kwenye ndoa ni balehe tu
Namimi sijazungumzia umri nimezungumzia sifa za muolewaji
 
Makuzi tu mbona wadada wakubwa tu wanacheza kamba na watoto wao, narudia kanuni ya asili ya mwanadamu ni kuvunja ungo au kubalehe , hiki ndio kilitumika enzi za manabii , hakukuwa na umri wa kuoa watu walikuwa wanacheza na bikra tu
Je kama balehe yake siyo ya kawaida (maradhi) huyu binti anasaidika vipi?unazungumza habari za wakati wa manabii unashindwa kutafakari inawezekana Mungu aliweka wataalamu mbalimbali akawapa ufahamu wa kuelewesha jamii kuacha baadhi ya tabia (hii ikiwemo) kwa sababu zinawatia ulemavu na sononeko watendwaji ambao ndiyo wanapinga hili jambo?

So wewe kwa uzee wako huo leo nikikutengea katoto aged 9 kakiwa upaja nje nikakwambia beba mkeo huyo utakapasua spika just kwa sababu mimi baba yake nimeona anatosha?acheni masihara aloo.
 
Back
Top Bottom