Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi naamini mkamilifu ni Mungu tu
Mitume Wote Hawako kama Wewe Ulivyo Na Ndio Maana Mungu Aliwachagua Kuwa Mitume Na Kabla Ya Kupewa Utume Walifanyiwa Maandalizi Usizani Kwamba Wameokotwa Tu Wakapewa Utume Hata Ukoo Wao Mitume Ukichunguza Ndo Wale Wale Nasaba Za Mitume.
 
Mitume Wote Hawako kama Wewe Ulivyo Na Ndio Maana Mungu Aliwachagua Kuwa Mitume Na Kabla Ya Kupewa Utume Walifanyiwa Maandalizi Usizani Kwamba Wameokotwa Tu Wakapewa Utume Hata Ukoo Wao Mitume Ukichunguza Ndo Wale Wale Nasaba Za Mitume.
Mimi naamini ni wanadamu , kwahiyo mkamilifu ni Mungu
 
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.


Kila la kheri huko uendako uzuri wa uislam hamlazimishi mtu kuwa Muislam

Kwanza unaonekana uislam wenyewe haujui

Haujui lipi limesemwa na Mungu
Haujui lipi limesemwa na mtume
Haujui lipi limesemwa na watu

Hiyo ishu yako ya miaka 9 Mungu hajasema ndani ya Quran Wala mtume hajasema

Na huyo muandishi aliyeandika hizo habari ameandika miaka 200 Baada ya kufa mtume Muhammad
 
Ndoa ni ngono na kuzaa, mtoto wa miaka 9 mwili na akili yake haviko tayari kufanya mgono na kuzaa, wala akili haipo tayari kulea watoto na kutunza mume. Hana uwezo wa kukubali wala kukataa, mzazi anaeruhusu ubakaji ni mbakaji pia..

Nasemaga siku zote humu, mtu akishakuwa muislam, hata awe proffessor, reasoning yake haina tofauti na mtoto wa darasa la nne, unadhirisha hilo kwa arguement zako za kitoto kabisa..
Tatizo Lenu Mnaishia Tu Kutaja Miaka 9 Ila Hamtaji Umri Sahihi Ni Upi?
 
Kuvunja uongo haimanishi ndio ushakua Mwanamke nimeangalia tafsiri mwanamke ni ADULT Hilo pekee lanamtofautisha na GIRL ni vitu viwili tofauti Quran 4 inazingumzia al NiSAA' ( mwanamke) na sio Girl au msichana na yamezungumzwa mambo ya contract humo ambapo mtoto mdogo hawezi kuingia mkataba hilo liko wazi hata kwa sheria za sasa
Mkataba Wa Ndoa Kwa Mujibu Wa Dini Ya Kiislam Anaingia Warii Wa Bint Na Sio Bint Mwenyewe Je Unajua Hilo?
 
Hii ni tofauti ya msichana na mwanamke kwa maelezo ya Chatgpt

Tofauti kuu kati ya msichana na mwanamke inahusiana na umri, ukomavu, na hatua ya maisha:
  1. Umri:
    • Msichana: Huyu ni mtu wa jinsia ya kike ambaye bado ni mchanga au hajafikia utu uzima. Hii inaweza kuwa kipindi cha utoto hadi ujana (kabla ya kubalehe au wakati wa kubalehe).
    • Mwanamke: Huyu ni mtu wa jinsia ya kike aliyefikia utu uzima, kawaida baada ya balehe na kuendelea.
  2. Ukomavu wa Kimwili:
    • Msichana: Mwili wake bado unakua, na hajakamilisha hatua zote za ukuaji wa kimwili kama mtu mzima.
    • Mwanamke: Mwili wake umekamilisha ukuaji wa kimwili, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kibaolojia kama kupata hedhi na uwezo wa kuzaa (kwa walio na afya ya kawaida).
  3. Ukomavu wa Kijamii na Kihisia:
    • Msichana: Anaweza kuwa bado hajapokea majukumu makubwa ya kijamii au ya familia, na maamuzi yake mara nyingi yanategemea watu wazima (kama wazazi au walezi).
    • Mwanamke: Ana uwezo wa kujitegemea, kufanya maamuzi ya kijamii, kifamilia, au kiuchumi, na mara nyingi anachukuliwa kama mtu mwenye majukumu katika jamii.
  4. Muktadha wa Kitamaduni na Kijamii:
    • Katika baadhi ya tamaduni, msichana ni jina linalotumika kwa wanawake wa umri mdogo hata kama wamekomaa kimwili, lakini bado hawajaoa au kuchukua majukumu ya utu uzima.
    • Mwanamke, kiasili, anachukuliwa kama mtu aliyekomaa kiumri, kijamii, au hata kiroho.
Kwa kifupi, msichana ni mtu wa jinsia ya kike aliyeko kwenye hatua za awali za ukuaji wa maisha, ilhali mwanamke ni mtu mzima wa jinsia ya kike aliyekamilisha hatua muhimu za ukuaji na ukomavu.

4o
Hiyo Ya Chat Nini Imepachikwa Na Warevi Wenzako Swala La Ndoa Ni La Ki Mungu Kwani Ni Agizo La Mungu Na Hakuna Sehemu Kwenye Vitabu Vya Mungu Ametaja Idadi Ya Miaka Tuna Ila Kipimo Cha Ukomavu Kwa Mujibu Wa Mungu Ni,Kubaleghe Na Kuvunja Ungo .
 
Quran haijatajwa umri lakini wametaja sifa za muolewaji ambapo sio tu kuvunja ungo ni lazima awe mwanamke kamili mtu mzima
Weka Hapa Hiyo Aya Ni Namba Ngapi Mi Nitakusaidia Kuiweka Kwa Kiswahili.
 
Sasa unasema sheria imepitishwa Iraq na haituhusu, wewe upo sijui wapi na unasema kama amebalehe kuna shida gani, je wewe ni wa wapi? Shida ipo hapo kuona haina shida no matter where you are
Kumbuka Ulaya na Marekani wanatoboana Wanaume kwa Wanaume, vipi inatuhusu?

Ulaya wamepunguza umri wa Utu uzima kutoka 18 mpaka 16, mbona wanaharakati feki hamkulishangaa!

Ni mambo yao sisi hayatuhusu
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Tukiacha Udini Na Ufata Mkumbo Haya maamuzi na hii sheria ya kuozesha vitoto vya Miaka 9 Ni TAKATAKA.

Hakuna mwenye Akili timamu anaeweza si tu kufanya hata kufikilia upuuzi wa namna hii😠😠😠
 
Kumbuka Ulaya na Marekani wanatoboana Wanaume kwa Wanaume, vipi inatuhusu?

Ulaya wamepunguza umri wa Utu uzima kutoka 18 mpaka 16, mbona wanaharakati feki hamkulishangaa!

Ni mambo yao sisi hayatuhusu
HAPO NI UARABUNI SI ULAYA,KUWEPO KWA MASHOGA ULAYA HAYAHALALISHI MTOTO WA MIAKA 9 KUOLEWA.
 
HAPO NI UARABUNI SI ULAYA,KUWEPO KWA MASHOGA ULAYA HAYAHALALISHI MTOTO WA MIAKA 9 KUOLEWA.
Kashabalehe sio mbaya.
Kuliko ila ya kubariki jinsia moja.

Hapa Tanzania Kuna Sheria tatu zinazokinzana kuhusu umri sahihi wa mtoto, unalijua Hilo?

Ulaya wameanza kupunguza umri wa Utu uzima kutoka 18 mpaka 16.

Tuwaache wao na utamaduni wao
 
Quran:4:4-5

4.Mwanamke ndio apewe mahari
5. Asiye na akili asipewe maana hajakomaa
Boss Hizo Ni Aya Mbili Tofauti Acha Kupotosha,Aya Ya Kwanza Inamzungumzia Mwanamke Na Mahari.Aya Ya Tano Inawazungumzia Mayatima Kama Ifuatavyo:Qur 4:4-5 Na Wapeni Wanawake Mahari Yao Hali
Ya Kuwa Ni Kipawa.Lakini Wakikutunukieni Kitu Katika Mahari,Kwa Radhi Yao,Basi Kileni Kiwashuke Kwa Raha.5.Wala Msiwape Wasio Na Akili Mali Yenu
Ambayo Mwenyezi Mungu Ameyajaalia Yawe Ni Kiamu Yenu.Walisheni Katika Hayo Na Muwavike,Na Mseme Nao Maneno Mazuri.

Usikurupuke Kama Kitu Huna Elimu Nacho,Hizo Ni Aya Mbili Zinazozungumzia Vitu Viwili Tofauti Sidhani Kama HijaelewA Na Kama Hujaelewa Sema Nikupe Mafhum Ya Hizo Aya.
 
Kwa waislamu kuoa mtoto wa miaka sita ni sunna ya mtume wao na ni ndoto ya kila mwislamu mwanamume.

Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that
'Aisha said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."

Mada ifungwe
We Mwenyewe Unaona Una Bonge La Hoja.Jua Kwamba Hata Mama Ako Uwenda Alianza Michezo Ya Kikubwa Akiwa Na Umri Huo huo.
 
Back
Top Bottom